Recent content by Kitumaki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wasaidizi Maalumu wa Kamarada Humphrey Polepole

    Wataalamu wa kuchakachua namba
  2. K

    JamiiForums Tanzania The oath of shame!

    Nadhani wana siasa wote ni watu wa hovyohovyo including wana CCM
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mossad wanampa huyu jamaa wakati mgumu sana anasikitisha na kutia huruma sana

    Ni umri tu umekwenda sura imebadirika hakuna cha MOSSAD wala mjombake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wa enzi hizo mnakumbukia wap hapa?

    Tujuze Shule darasa la ngapi mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Unafikiri hawa wazee wameuza nini?

    Ugolo
  6. K

    JamiiForums Tanzania mfahamu SLOTH mnyama aliye polepole kuliko wengine

    Macho yanarembua kama amekula KUNGU
  7. K

    JamiiForums Tanzania Selfie marufuku

    Boss hamwamini mtu kila kitu anataka kufanya yeye
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Mo hakuonekana kwenye harusi ya Manara?

    MO anateseka na jinsi ya kulipa faini ya karibu TZS 300mn
  9. K

    JamiiForums Tanzania VC wa UDSM, Prof. Anangisye ameachana na ukapera

    Ulimpatia kazi akashindwa kuifanya??? au ni tetesi na umbea tu unakusumbua
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hesabu nipeni jibu

    A=7,B=3, C=17 A+B+C=27
  11. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    Madikiteta wote duniani hupenda kushinda kwa kishindo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Patirck Mafisango

    Nasikia viongozi wa SImba wa wakati huo walikula rambirambi za huu msiba
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Alphonce Lusako ahitimu, ni baada ya miaka 12

    Na bado anasubiria cheo cha kuteuliwa pamoja na kujipendekeza/kujikombakomba/kusifiasifia kwingi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

    Tunamtanguliza MUNGU kwa maneno lakini ukweli tumemwacha MUNGU kwa vitendo vyetu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kiburi akiinuliwa juu anainuliwa ili aanguke vibaya

    Hata Mabutu alishupaza shingo na alikuwa na maneno ya jeuri kama yako lakini alizikwa na watu saba tu tena ugenini
Back
Top Bottom