Unafikiri hawa wazee wameuza nini?

Unafikiri hawa wazee wameuza nini?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,873
Unafikiri hawa wazee wameuza nini?
FB_IMG_1607616657829.jpg
 
Kuna mtu hajaridhika, yuko kwa mbaaali.
Sio kwamba hajaridhika, ni kwamba suala linaloendelea linawahusu wanaume peke yao.
Yeye ni mtu wa kufahamishwa tu hana la kuchangia[emoji38][emoji38]

Ukiangalia vizuri utagundua kuna binti anauzwa na bei ishafikiwa ndio jamaa wametumwa kulipa then binti achukuliwe aende kwao jamaa kuhudumia. Biashara ya kuuza binadamu iliyoboreshwa hii.
 
Back
Top Bottom