Recent content by kitukuupinde

  1. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Shaka yuko Kigoma anafanya maandamano na mikutano kama nani? Ni mbunge wa kigoma?

    Madhara yake yataonekana mbeleni Post sent using JamiiForums mobile app
  2. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Waislamu waitikia kauli ya Lowassa, waijia juu serikali kuhusu mashehe wa uamsho

    Kidemokrasia na utawala bora unaofata sheria na haki Tanzania inaseleleka kwa kasi kuelekea shimoni. Post sent using JamiiForums mobile app
  3. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Philosophy: Huku ndiko Lwandamina aelekeapo

    Yanga wanajipanga kimataifa zaidi. Hapa bongo hana mshindani.
  4. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa mwana JF aliyepo Dar kutokwenda gereza la Keko leo for visiting

    Picha ni muhimu
  5. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania VPL : Yanga yakwaa kileleni kwa kuifumua JKT Ruvu goli tatu bila majibu

    Kuna kitu nimeona leo......yanga wanauwezo wa kupenyeza mipira katikati na kutafuta magoli kupitia katikati pia. Tulizoea magoli mengi hutokea pembeni hasa krosi
  6. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Am a new comer

    Huku ni .com na si .co.tz
  7. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania CCM yashinda Umeya Kigamboni

    Siipendi CCM basi tu.
  8. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Ufundi wa Lwandamina, Pluijm, Niyonzima, kikwazo cha ubingwa Msimbazi

    Yanga leo wametumia mifumo zaidi ya saba.
  9. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo kitakufa muda si mrefu, mgogoro mkubwa kuibuka

    ACT wazalendo ni chama makini. Ni chama pekee kinachokutana kwa mwaka kujadili sera.....vyama babu vingi vinaendeshwa kwa mazoea.
  10. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Zitto Rudi CHADEMA,La sivyo Utapotea kwenye Siasa

    Akipotea si ndio furaha yako....huruma ya nini?
  11. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Zitto Rudi CHADEMA,La sivyo Utapotea kwenye Siasa

    Akipotea ww unakosa nini?
  12. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

    Mwambie mwenzio......ujumbe utamfikia huyo unayemwita wa kawaida
  13. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

    Ujumbe huu ni wa kipekee.....ukilenga kutahadharisha. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.....wahenga walisema mavi ya kale hayanuki......
  14. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa afande sele

  15. kitukuupinde

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa afande sele

    Siasa za Tanzania ni za matukio na si masuala......upuuzi hupewa nafasi kwa kiwango cha bombardier
Back
Top Bottom