Recent content by kitotoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunataka Maji Yatoke

    Inafikirisha sana, utadhani hio ruvu ilianza kukauka ghafla. Shida viongozi hawana plan ya kukabiliana na tatizo ni kureact tu linapotokea. Wakati kina kinapungua na utabili unaonyesha mvua ni kidogo walifanya nini au ndio business as usually?? Waje wapate political platform tu na hawana hata...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Unashauri niuze nini ndugu?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Napatikama bunju Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Habari za muda wadau, Nataka kuanzisha biashara ya samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa victoria hapa Dar, naomba kujua sehemu wanaponunua kwa jumla au njia yoyote rahisi ya kuwatoa ziwani mpaka Dar. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zimwi la Makonda bado linaitafuna Tanzania kuhusu habari zinazotolewa kwa wanaotaka kuitembelea nchi yetu

    "Amber ruti effect" kutafuta kiki pasipo sababu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania RAUM INAHITAJIKA

    Unaweza kuni PM au no 0714-284781
  7. K

    JamiiForums Tanzania RAUM INAHITAJIKA

    Wadau salama, Natafuta raum new model no D nzuri, iwe imenyooka Offer 8mil
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenz

    Wivu kidonda ........
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupauwa kwa milunda

    Wandugu salama Naomba msaada wa kiufundi/utaalamu juu ya upauaji kwakutumia miti ya milunda, kudumu kwake n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kutegeneza mazda

    Nipo dar mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kutegeneza mazda

    Sijui ni fault code gani, ila anasema coil plag ndio imekufa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kutegeneza mazda

    Wakuu salama, kuna gari aina ya mazda tribute, inazingua kuwaka kwa muda sasa fundi anasema inekufa ignation coil . Amejaribu kibadilisha lakini bado. Msaada wadau
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

    kweli kabisa japo sio zote ila nyingi ni chenga sana, hakuna maadili wala heshima kuna mtoto nimekutana nae anajua Good morning tu kwa watu wote, hakuna tofauti hata kwa wazazi
  15. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Kitaa cha Bunju watu kibao kutuoni
Back
Top Bottom