Recent content by Kitoronto mtoto

  1. Kitoronto mtoto

    DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Tatizo la makonda ni kukurupuka hana utararatibu wa kupanga jambo na kutumia akili kubwa,,,,, kwa jiji kama dar ni ngumu kulimudu hadi mwisho mtakuja nambia,,,,, Sifa zitamponza.
  2. Kitoronto mtoto

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Mi naxhani bado tunahitaji kiobgoz wa namna hii na watendaji wake ila makonda daaaah!í cjui alimtoa wapi
  3. Kitoronto mtoto

    India: Mwanaume abeba mwili wa mkewe Km 12

    Umaskin wa kibongo usipime ww tuna umaskin had wa kufikir
  4. Kitoronto mtoto

    Jambo leo: Muuaji wa Polisi Mbande ajulikana

    Ha ha haaaa ila hata mi cjapenda hata kidogo yaan kutoa habari ya kitoto humu,,,,,,, aaaah yuko wapi sasa muuaji.
  5. Kitoronto mtoto

    Tabia za wanaume wafupi

    Kifupi wanaume wafupi hawajiamini hata kwa mademu zao hawawezi kujitetea.
  6. Kitoronto mtoto

    Polisi yawatia mbaroni Beach Boys(dungadunga), wanaolazimisha wasichana kufanya Mapenzi

    Hiyo mbona ni nouma saana wabongo kwa vitendo tunatishaa
  7. Kitoronto mtoto

    Congo DRC: Waasi wa Mai Mai wawateka madereva 8 wa Tanzania, wanataka $ 4,000 kwa kila Dereva

    Wao wamewachukua kwa bunduki iweje ss tuwafuate kwa pesa haiwezekani hata...
  8. Kitoronto mtoto

    Congo DRC: Waasi wa Mai Mai wawateka madereva 8 wa Tanzania, wanataka $ 4,000 kwa kila Dereva

    Hawa jamaa nashindwa kuelewa wanalelewa na nan mwrnye nguvu ya kuharbu mari na amani,,, lakini uwrzo wa kuwadhibiti tunao cjui tatizo nn aaah.
Back
Top Bottom