Mungu hana mapungufu na unachofikiria ni upeo wa akili yako na sayansi ni akili za binadamu ambazo anazitoa Mungu kwa kipimo hivyo mapungufu lazima yawepooo lakini mungu hana mapungufu na ndio maana mambo yake hayana nyongeza wala editing[emoji122]
Ujue kila siku ninapopitia mada zinahusu uwepo wa Mungu huwa nikiona post zako ambazo umekalili baadhi ya maneno na yamekufanya uwe mbumbumbu kupita maelezo ivi anaekudanganya kuwa Mungu hayupo mwambie akome.
Mfano kidogo kuhusu uwepo wa Mungu hivi niambie ni nani analitoa jua mashariki na...
Tenaa ikiwezekana wenye mashamba jiran wawe mstari wa mbelekufyeka kuna vitu vingine vinawezekana simple tu basi watu walishazoea kauli za tutaunda kamati tulishughulikie hili wapiiiiii huyu ni JIWEEEE NA mamaaa yanaaaanaenda NGENGEEEEEENGEEER MBONA mtatamani munywe sumuu ndo kwaaanzaaa...
Mfanoo ukishaijua PHD ya Rais inakusaidia nini kama ulipata bahat ya kusoma jitaidi uwe unafikra endelevu nyie ndo mnaitwa kiioo cha jamii halafu mnakua na mawazo mgando
Kinacho nishangaza tumelipa deni wanasema tukidaiwa wanasema hata mm sijui lipi kwao jema mimi nasema hawana hoja na rais wetu yupo imara na tunazidi kumuombea azidi tuletea heshima nchini mwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.