Mrisho Gambo RC ambaye ni smart na focused!

Vipi, ameshapona? As far as I know, he neither confirmed nor denied that he was severely beaten! Now any news that prevailed no matter true or false is deemed to be true in absence of counter veining information...
 
Smart kwenye kuiba kura na kununua wapinzani hana maajabu huyo mropokaji
 
Vipi, ameshapona? As far as I know, he neither confirmed nor denied that he was severely beaten! Now any news that prevailed no matter true or false is deemed to be true in absence of counter veining information...
Sijaona hata mchubuko kwenye uso wake...wadaku mmeangukia pua
 
mkuu wa mkoa wa Arusha yuko smart uwezi kumlinganisha na Makonda.Hana tabia za kukurupuka na kutoa kauli za ajabu ajabu anafikiria kwanza.
 
View attachment 737172 Namuangalia hapa anavyoshusha taarifa ya mkoa wa Arusha.
Hana siasa anashusha nondo zinazogusa hadi wataalamu.

Ameweza kuunganisha wafanyabiashara.

Anafahamu chanzo cha matatizo mfano sababu ya msongamano katika hospitali ya mkoa na sababu ya vijana kuandamanishwa kila kukicha.

Hatumii nguvu kutatua matatizo.
kiukweli bwana mdogo katulia sana, anaongea Kwa ufasaha sana, na ni point tupu.
 
Wewe unayaamini maneno ya wanasiasa wa chama lenu la mafisadi au ? Jikomboeni naona mmefinyangwa na maono ya mafisadi wenu
Unashindwa kujikomboa wewe uliyeambiwa Chenge akiwa mwanasheria mkuu wa serikali ndiye aliyesaini haya madudu yote na kupiga hela nzuri tu ambayo mngenunuliwa NOAH kila raia na leo hii ni miongoni mwa wanachama watakatifu na kiongozi wa bunge letu tukufu.
 
Vipi, ameshapona? As far as I know, he neither confirmed nor denied that he was severely beaten! Now any news that prevailed no matter true or false is deemed to be true in absence of counter veining information...
kamuulize aliyekwambia kuwa amepigwa
 
View attachment 737172 Namuangalia hapa anavyoshusha taarifa ya mkoa wa Arusha.
Hana siasa anashusha nondo zinazogusa hadi wataalamu.

Ameweza kuunganisha wafanyabiashara.

Anafahamu chanzo cha matatizo mfano sababu ya msongamano katika hospitali ya mkoa na sababu ya vijana kuandamanishwa kila kukicha.

Hatumii nguvu kutatua matatizo.
Usmart wa kijinga kama wako na Magu. Arusha hatuna mpango nanyi
 
Unashindwa kujikomboa wewe uliyeambiwa Chenge akiwa mwanasheria mkuu wa serikali ndiye aliyesaini haya madudu yote na kupiga hela nzuri tu ambayo mngenunuliwa NOAH kila raia na leo hii ni miongoni mwa wanachama watakatifu na kiongozi wa bunge letu tukufu.
Mbn el a.k.a lowasa ndo mlimnadi fisadi namba moja ndo mleta mabadiliko chadema na ndo mgombea urais bila kupigwa unaongea upupu gani
 
Wewe punguani wahed kajifunze kwanza kuandika ndio urudi uandike ujinga wako
Nani kakuambia mimi ni Chadema? Kila anayekosoa kwa akili zako ndogo ni Chadema, halafu huyo unayemuita fisadi kwani anaishi mbinguni mpaka mushindwe kumkamata mumfungulie mashitka.
Mna akili ndogo kweli ndio maana mmefanywa mtaji wa kisiasa na haya mavyama yenu ya kipuuzi.
Uncivilized!
 
najua umeielewa CCM kwa inyelijensia yake

Bado sijawaelewa CCM mpaka kesho.

Mosi Gambo alitimuliwa na Rais pamoja na Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Jiji kwa kushindwa kutimiza wajibu wao.

Pili Gambo kupitia wadhifa wake wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kasababisha uchafu katikati ya Jiji kwa kuwaachia wamachinga kufanya biashara hadi mabarabarani

Tatu na Mwisho Gambo si kiongozi anayeamini katika a umoja.
 
Mrisho Gambo Zuzu yule tokea lini kabadilika na kuwa smart jinga lao sasa hivi umekuwa mtu wa bia moja na mishikaki miwili unakesha kwenye lap top kumsifia mdhamini

Unazidi kujizalilisha hata akina kawe alumni na bia yetu wanakuona umenda very low
 
Bado sijawaelewa CCM mpaka kesho.

Mosi Gambo alitimuliwa na Rais pamoja na Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Jiji kwa kushindwa kutimiza wajibu wao.

Pili Gambo kupitia wadhifa wake wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kasababisha uchafu katikati ya Jiji kwa kuwaachia wamachinga kufanya biashara hadi mabarabarani

Tatu na Mwisho Gambo si kiongozi anayeamini katika a umoja.
Bado hujaelewa nini?
 
Back
Top Bottom