Recent content by kitomilamkijeje

  1. K

    Inasikitisha sana: Hivi ni kweli nchi hii tunaweza kukosa ndege au helicopter za ambulance za dharura mpaka tuazime nchi nyingine?

    Naamini kabla ya Disemba, 2019 tutanunua tatu. Yaani hela zinazookolewa kwenye dhahabu/ madini na nyara nyingine za serikali zikipigwa mnada kwa miezi hii 3 October had Disemba, 2019 tunanunua! Juzi nimesoma gazeti Tarime tu pale 2bn zimekusanywa kwa Wachina. Mhe. Rais, Dreamliner zinakuja zije...
  2. K

    Furaha ya Migogoro ya Serikali

    Binafsi sifurahiagi kamwe kuona mwanadamu mwenzangu akiwa kwenye shida, migogoro sebuse nchi yangu! Hivyo, wenye kufurahia nchi yetu kuwa kwenye migogoro, amini kwamba ni wagonjwa! Ndio, ni wagonjwa wanahitaji tiba ya kitabibu. Mwanadamu wa kawaida hawezi furahia Mali ya taifa lake...
  3. K

    Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha

    Fake! Tarehe za mhuri wa wakili, ni tayari mengi ameshafariki! Uwe tajiri shida, maskini shida! FAMILIA ya MENGI muwe makini, mnagombanishwa! Mtunzieni heshima huyu GULU wa humanity! Hii kuna watu wanataka kupima docs kama kuna mbadala! Hugo, mama anachikozwa, msigombanie urithi, mtafiliska...
  4. K

    Kushuka kwa purchasing power, Je kundi la high income group wanaathirika? Village Supermarket ya high class wa Mbezi Beach Shamo Tower yafungwa!

    Mjadala umekuwa mzuri sana hapa. Nashauri secretariat iandae majumuisho na kuweka maazimio yapelekwe 'utawala' kufanyiwa kazi. Kichwa chq habari Maazimio ya GT wa JF kwa mzunguko hafifu wa fedha:- 1. Benki zishushe mikopo toka 18%...
  5. K

    Barua ya wazi kwa Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi

    Vitu vya kiimani biblia,rozari vitabu vya watakatifu, ni ghali mnonkwa waumini. Kanisa sio biashara , binafsi nachukia sana japo sio mpakwa. Hivi, kwanini Manisa lisikusanye hela , likatengeneza idara ya uchapshaji biblia ikauzwa 5,000/ mpaka 25,000/ etc .
  6. K

    Kesi na malalamiko ya haki ndizo zina haribu picha ya Rais Magufuli kimataifa

    Hakuna tena mambo hayo ukumsoma ex- spy, naamini baada ya SADC, mambo yatakuwa mazuri sana nchi hii, kisiasa imembeba sana JPM ndani na nje! Kama kisaikolijia viongozi waandamizi madarakani na wastaafu wamesawajika kabisa! Read their face. Pamoja na ulichosema serikali ilipe madeni ya watumishi...
  7. K

    Polycarp Pengo hajamuandaa askofu Ruwa'ichi alipokuwa seminari. Aliyemuandaa Ruwa'ichi ni padri Cyprian Tirumanywa wa jimbo kuu la Mwanza

    Tunasoma enzi za Nabii Elisha palikuwa na wajane wengi Bali, alitumwa kwa yule wa Serpta, na balikuwa na Wakoma wengi akatumwa kwa Naaman, kamanda wa jeshi wa Syria! Wanaitwa mapadri na watawa wengi sana, lakini Mungu apendavyo uteule huenda kwa mmoja mmoja kwa wakati wake! Uongozi wa inchi na...
  8. K

    “Tanzania governor” Makonda on CNN for all the wrong reasons

    Wazungu have decide using Governor instead or RC title used in Tz, as mockery to the elected! It could be, as in colonialism to show that Africa still so primitive, a Governor to engage into private affairs, intimacy instead looking into Macro issues for state/ regional and country as whole...
  9. K

    Je, Rais John Magufuli atakuja kuwa mwenye heri!?

    Magufuli anazo sifa nyingi tu za huruma ya Ki-Mungu! 1. Utakatifu unaangalia mambo mengi, afterall ukiacha mwl. Nyerere kwa Taifa hili( heroic virtues zake katika kutenda) hakuna mfanowe), wacha Barabara zinazosemwa sasa! Magufuli kasimamia infrastructure yote ya nchi hii tangu enzi za Mkapa...
  10. K

    Be proud of your Country Tanzania

    Proud to be Tanzanian! In ten years presidency of Magufuli, we will be compared to South Africa!!
  11. K

    Kazi ya zamani ya Membe, matarajio yake 2020 na katiba ya CCM 2017

    Umechambua vizuri! Sheria,kanuni za chama haziruhusu, Mzee Pinda, mwenye professional kama yake, kaelezea,unalazimisha, mwenzio ana madaraka, is commander in chief! Binafsi naogopa machafuko! Iraq Saddam was doing very fine,utulivu wa nchi, kuliko alipotoka. Libya, Saddam the same! Wazungu...
  12. K

    Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

    Give yourself courage! Take all Biblical characters for example , their life wasn't so easy to make a success! Look at Moses, Joshua &etail.Look at prophets like Elijah, Ebu msome MTU mmoja Gedion agano la kale, familia yao ilikuwa kama inavyodaiwa, hadi alivunja maangano ya kumwabudu shetani...
  13. K

    Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

    Hongera kwa kuanza kuhoji na kuwa na mawazo ya aina hiyo. Kama wengine walivyoeleza, anza wewe kuvunja jedwari mliomo. Fanya yote chanya, kuwa mentor, somesha kila anaeibuka mwenye akili, bila kujali, wa nani wala nani, familia kama hizo vijicho Ving, lakini pia kufunikwa tu na Giza shetani...
Back
Top Bottom