Recent content by Kitombile

  1. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Unajuaje kama alimpiga na kufungia ndani akiwa na mtoto wa miezi mitatu, huyu mwanamke anatafuta huruma za kuhalalisha maamuzi yake, et aende akaanze maisha bila watoto huyu pia hana huruma na watoto wake, ni mwanamke fala tu na mwenye kisirani.
  2. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Huyu mleta mada ana ufala mwingi na utoto mwingi
  3. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Mwanaume akomolewi wewe kama unaamua kusepa we sepa ukaafute malaika bora wa kukuoa kama unaona mmeo hakufai tena, sisi wanaume huwa tuna tamaa ya asili kaa ukijua ilo.... We tembea na usifikiri utamkoa lbda kama alikuwa anakupenda sana kuliko mama yake mzazi.
  4. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    Hizo couple zinawafaa wanaume mandezi, sio marijali kama mimi.
  5. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    Unapotea mahusiano ya kuhegema upande mmoja sio, na wanawake huwa ni wakuda wakiona umpenda sana hakuna mahusiano hapo ya jamaa kunyenyekea mbususu.
  6. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    Mwanaume kabeba mizigo yote peke yake na mwanamke ni kama ameshika mwamvuli akijivutia upande wake kuwa makini kuangalia
  7. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    1 &4
  8. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Utakuta mtu anakuchukia akiona ww umekaa kimsimamo huyumbi, unapigilia pamba kali huna muda na watu watu wengi watakuchukia tu bila sababu yaani ni chuki binafsi
  9. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Hili ndilo jibu ukiona unamchukia tu mtu bila sababu jua kuwa huyo amekuzidi vitu fulani na unamwogopa na nguvu za kiroho zinamkataa kuwa huyo yupo juu yako, akilo inapenda kuwa na watu wanyonge wakuwaendesha...
  10. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

    Hujui PPH ina causes ngapi na PPH ni emergency na ukishindwa ku manage vizuri maternal death ni kugusa tu
  11. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Apigwa risasi baada ya kujaribu kupora bank

    Huyo jamaa alikuwa content creator walikuwa wanabishana na jamaa yake kama anaweza kufanya tukio la kuwatishia wahudumu wa bank lkn polis bila kuuliza wakamlamba risasi😂😂😂
  12. Kitombile

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Lala na haka kwanza kutoka the rock city
Back
Top Bottom