Theoretically ndiyo hivyo kweli inavyopaswa kuwa, lakini in practice tumeona mengi ya tofauti sana na tarajio hili. Tumeona mtu aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, lakini alipofika kwenye ukumbi wa kuapishwa akaambiwa aondoke, aliteuliwa kimakosa. Kwa hiyo makosa yapo.
Pili, taarifa niliyotoa...
".............ilidaiwa kuwa Mnyele alikuwa akikabiliwa na shitaka la kumuua mkewe Pamela Ngunyali kwa kumpiga ofisini kwake katika jengo la Hugo Kinondoni baada ya kugombana.
Ilidaiwa na upande wa mashtaka kuwa Mnyele alimpiga mkewe huyo Novemba 10, 2003 na kumsababishia majeraha ambapo...
Nimetulia tuliii! Walisema 'majuto ni mjukuu'. Hata hivyo hatukuwa na ujanja, ndio maana nalilia ukali wa adhabu tuliyopewa.
Ni kama mtoto unaambiwa 'si uliona makande hayafai? Haya sasa kula magunzi!'
Wapo waliokuita Vasco Da Gama, wengine wakakuita 'dhaifu', mtalii nk. Lakini ni wachache, siyo nchi nzima tuliokufanyia hayo. Ungetusamehe tu. Hii ni zaidi ya adhabu.
Mambo haya ni ya kawaida sana ughaibuni, huku Bongo bado mageni ndio maana wengi wanashangaa. Lakini mkiyazoea mtayaona ya kawaida tu, hata biashara hii ikifunguliwa jirani na nyumba yako kama wewe si mteja utaipita tu utaendelea na shughuli zako bila hata kuishangaa, na wanaohusika nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.