Ni kweli wabeba vyuma wengi wa Dar wanaongoza kutembea na mashoga nandio mana mashoga wengi wanaenda Gym kutafuta mabwana wenye six packs. Kwani mtendaji na mtedwaji wote si mashoga?
Dah😭 ni kikumbuka mwaka 2014 wakati matokeo ya kidato cha Nne yalipo toka kuna rafiki yangu kabisa, yeye alifauru mimi ni kafeli 😬, basi jamaa akaanza kunicheka kuwa kanizidi hakili mimi sina hakili, Mtaa kwenyewe watu wananicheka kuwa Nimefeli.
Kiukweli maisha yalikuwa magumu sana kipindi hicho...
Mkuu unajua kuwa Zanzibar ni sehemu ya utali? Sehemu yoyote hapa duniani yenye vivutio vya watalii wenyeji wanao jishughulisha na utali wanakuwa na advantage ya kwenda ulaya au marekani,
Kwa bahati mbaya saiv sipo Zanzibar, Mkuu kuwa beach boy sehemu zenyewe uende: Nugwi, kiwengwa, pwani Mchangani, paje, kuhusu lugha usiwaze utaijua ukiwa upo Beach.
Acha namimi nishare ideal yangu hapa,
Hii kwavijna mwenye ndoto ya kwenda huko wanakokuita Europe.
Moja, futa wazo la kutaka kujilipua! Kwasababu utakapo fanya hivyo utajiharibia status yako ya Utanzania. Kwa saivi Ulaya warabu kutoka Syria na nchi nyingine za Africa kwa kuzamia saiv siyo rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.