Recent content by kitenzi kikuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusilielie uongo Kenya wanatangaza Mlima Kilimanjaro uko Kenya - wanachotangaza ni ukweli watalii wakauone Mlima Kilimanjaro wakiwa Kenya

    Yah kipindi nasoma chuoni Ontario nchin Canada nilishawahi bishana na lecturer class alisema mlima Kilimanjaro upo Kenya yaan siwez sahau jins nilivobishana nae.I love TZ
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

    Sasa nan ambaye hana kazi hapo kati ya wew unayefanya kazi ya kumchunguza mtu na anayechunguzwa.usiuchoshe ubongo kwa vitu visivyo na faida kwako,keep busy with your own business
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua hili neno 'eti' huwa lina maana gani?

    Wanawake njoen mada yenu imewekwa mezani,tunasubir et zenu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

    Me nikiongeaga kingeleza kimoyomoyo naongea vizuri mpaka najiopa,sasa niongee kwenye umati duh kasheshe inaanza hapo,cjuw nafel wap
  5. K

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Something is better than nothing. By leonsia mshala
  6. K

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "Upumbavu ni zawadi ambayo kila mtu amepewa kutoka kwa mungu,ni uamuzi wako kuutumia au kupuuza" sasa kwenye kimombo hapo ndy shida
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya Wanafunzi wa Mkoa wa Dar es Salaam walivyo nikisikia Shule za Dar es Salaam zinaongoza napatwa na Mashaka

    Kila kitu dar es salaam duh,haya bn najuw c mda mrefu tutaambiwa dar yaongoza kilimo cha pamba
  8. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu maarufu zaidi duniani toka dunia kuumbwa

    Nasikitika kutomwuona Aristotle, socrate na plato
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume mnaofuga madevu!

    Mwanaume mwenye ndevu ni sawasawa na kachumbari kwenye kitimoto Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom