professionalism hakuna startv
wameamua kuua chombo hicho kwa miadi ya ukanda ,ubinafsi#uchama.
Ndyo maana watangazaji wa maana wamekimbia
kamuntu..yahya...baruani#others
Unajua nchi hii bwana kila MTU anaongea kutetea maslahi take ..kingunge alichokifanya no kutuo onto kwa watu wenye hekima ndogo ambao maneno na matendo yao yamekua yakitaka kuonesha kuwa lazima Lowasa akatwe..amesisitiza kuwa wajumbe wa vikao vya mauzi wasiendeshwe #utashi wao
..sasa kwa...
Kuna vyama ambavyo mgombea wao huamuliwa kwa maoni ya watu wachache wenye his a kubwa CCM si moja ya vyama hivyo kavisaidie vyama hivyo vingine kutoa maoni yako hayo
Vikao vitaamua kabsa nani anafaa kupeperusha Bender ya chama..
CCM siyo SACCOSS ya kisiasa..ushindi uko pale pale
Well said..nikubariane nawe kama kigezo cha kua guru ni kujichagulia uongozi ktk mhimili husika..spika anachaguliwa na wabunge he binge in guru kuliko mahakama zetu siyo? Kwa hyo Uhuru was mahakama ni kutoa maamuzi dhidi ya ruling class tu siyo...fiat justitia ruat coellum
Kuchaguliwa jaji mkuu na majaji hakiwezi kuwa kigezo pekee cha Uhuru was mahakama kumbuka..kama unaweza..no kesi ngapi serikali imeshindwa...hata za uchaguzi..lema na lisu wangekuwa wabunge kama mahakama zingekua unavyotaka kutuaminisha...usipuuze kazi za mahakama ktk kulinda Uhuru na haki za...
Hivi mkuu huoni aibu kujibu hisia zako zisizo hata na chembe ya impricism as if no mawazo ya watanzania...acha dharau...Pima hoja au kaa kimya unadhani wanaonyamaza hawajui kuandika...mtaifanya jamii forum Lowe jukwaa la mabwege...jifunze bwana yaani unadhani kila anayetangaza nia ndo kawa rais...
Wenye akili tulijua hill..kuzozana na Zitto...kutukana wahenga ..kutumiwa na mbatia could mean this...that was your golden opportunity which you didn't honour...Moses..no uamuzi mzuri naamini hata Mkosamali ama anataman kufanya hivyo au atakufa na tai shingoni..umeshapata mtaji jenga maisha sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.