Jana mheshimiwa huyu alikuwa anawahutubia wapiga kura wake wa maeneo ya winza na viunga vyake. Hapo Winza ndo kulitokea mgodi wa kuchimba madini poli ambayo mwanzo yalikuwa juujuu tu, machimbo hayo yalivuta watu wengi toka sehemu mbali mbali Tanzania wakiwemo WASILILANKA.
Madini baadae yalikata cha kushangaza winza imeachwa kama ilivyokutwa cha mno imeachwa na mashimo mengi mno.Walionufaika na madini hayo ni wanunuzi toka SLILANKA maana wengine walikuwa wanakaa wiki 2 tu wanaondoka wanaenda kuita wenzao. Wakati madini hayo yanaibuka mbunge alikuwa yeye Msimbachawene, sijui mwili wake ulikufa ganzi bila kuipa ushauri halmashauri kama mwanasheria Waslilanka hao waliachwa wakachukua madini bure bure bila hata kujenga shule wala zahanati wala barabara walizokuwa wanapita.
Sasa Mheshimiwa jana alikuwa anajikosha eti kila mtu ameona alichofanya hata Mh. Rais aliuona uwezo wake ndiyo maana alimchagua akawa waziri kamili wa wizara nyeti pia akasema bado anataka kututumikia tumpe tena awamu ingine.
Tunapenda kumpa mbunge wetu wajibu yafuatayo:-
1. Uwaziri alipewa siyo kwa kuwa na uwezo wakuiongoza wizara hiyo bali alipewa baada ya Mh. rais kukosa watu maana wenye uwezo wote waliisha wajibishwa kwa makosa mbali mbali akawa hana jinsi ikabidi awape hata makapikapi, kiukweli Simbachawene hana uwezo wa kuongoza wizara hiyo maana ni ya kitaaruma sana. Na tunapenda kumusisitizia Mheshimiwa awe makini na kazi hiyo amalizie vizuri mda uliobaki maana akiharibu na kuondoshwa Mh, rais atakuwa hana njia ingine bali ni kuchagua wahindi na wasomali waongoze wizara maana watu watakuwa wamekwisha.
2. Sisi wa jimbo la Kibakwe tuna utaratibu wetu tuliojiwekea kwamba kila rais mpya tunampa mbunge mpya maana tunaamini kila mhula unachangamoto zake wakati wake Simbachawene kulikuwa na madini kama hivyo kashindwa kutumia fursa za utajiri huo wa asili kuwaletea maendeleo wana jimbo licha ya uwanasheria wake. Sasa awamu hii kuna suala la ujenzi wa barabara ambazo Mh. Rais kesha weka sahihi tumemuandaa mtu muafaka wa kuweza kusimamia fursa hii adhimu maana ni msomi wa taaruma hiyo hiyo na uzoefu wa mda mrefu.
3. Vile vile tunasikitishwa sana na kauli za msaidizi wake Willy maana anasema anafanya kazi halipwi eti kwa kuwa mmempa dada yenu bure kwa hiyo anafanya kazi za nyumbani mshahara tonge. Dada mliyempa ni mbaya wa nyumba ndogo, mbona hamkumpa dada zenu wazuri wa nyumba kubwa?
4. Hatukubezi kwamba hujafanya mkubwa la hasha, bali siasa ni sawa na mchezo wa kupokezana vijiti, mda ukifika mpe mwenzio, tuking`ngania mtu moja wazuri wengine tutuwajuaje?
5. Anza kujiandaa kukabizi ofisi ya ubunge, kama unavitu vyako vya faragha uanze kutoa usijisahau kama Mhe. Mrema alivyokuwa anamkabizi ofisi ya wizara ya mambo ya ndani waziri Ernest Nyanda alikuta anamkabizi mpaka condom.
By Kimwanyula
Kibakwe.