Recent content by Kiteitei

  1. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kufanya jaribio la kutembea kurudi nyuma kwa wiki moja

    Bahati yako ulibadilika, sisi mdugu tulishapanga tukukamate kimya kimya tikupeleke mirembe
  2. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania 2016 Toyota Harrier Crossover SUV ya kifahari, imara na inayoaminika

    Umechambua vyema kabisa,nimeagiza suzuki i wish ningeweza kubadilisha nikae humu
  3. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa beer ya brutal hauko kwenye kiwango cha kilevi

    Wanunuaji hawanywi na wanywaji hawanunui......
  4. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Picha: siagizi tena bidhaa kutoka china

    Hao jamaa wahuni sana tuu,nimeagiza taa za sola nikajua naenda kupakia kwenye kirikuu,zimefika kwenye kikasha saizi ya kiganja
  5. Kiteitei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

    Kwisha habari yako bro
  6. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa mwajiri agoma kutokea kwenye hearing

    Ndugu wahi CMA haraka kafungue kesi,hapo unaweza kupiga mpunga mrefu sana kama fidia! Kesi nyepesi mnoo kwako....ila tafuta wakili .....akikusimamia vizuri naiona 500m hapo
  7. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nini maana ya likizo ikiwa muda wa likizo ukifika wanafunzi wanaambiwa waendelee kwenda shule

    Muda wa likizo mtoto anatakiwa kupumzisha akili na kujifunza maisha ya nje ya shule!!!wengine wanapewa kazi kibao za kufanya nyumbani(wamezibatiza holday package)....naona kama hawa waalimu wanakwepa majukumu yao na zaidi wanawa stress tut watoto!hili nalo litazamwe
  8. Kiteitei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naota napigana nashtuka nmepiga ukuta damu zinatoka mkononi. Tatizo nn

    Ndugu ulikula lakini kabla hujalala???isije kuwa una tatizo la njaa au kula ugali usiku
  9. Kiteitei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukipatwa na msiba wa kifamilia, ni baada ya kipindi gani ndio wakati sahihi wa kufanya mapenzi?

    Kwani ukifiwa kikojoleo nacho kinafariki???
  10. Kiteitei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    kila la heri kwake, ila kwa kucha hizo naamini makalio na sehemu yake ya kukojolea vitakuwa na ukurutu,fangasi na ukoko sugu kwa kushindwa kujiswafi vizuri.....pathetic
  11. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Jipatie balo za mitumba quality grade one Kwa bei poa

    Soon...
  12. Kiteitei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na uwezo wa kufanya masaji wa msichana huyu wa kiarabu kutoka Kariakoo jijini Dar es Salaam

    Huu uzi bila contact ya dalali hauna maana,mods futeni hii!
  13. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Safirisha wazima mkuu,peleka moja kwa moja machinjioni,jamaa wananunua hata uwe na lori mbili
  14. Kiteitei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kusahau tukio zito alilonipiga X wangu

    Nimekutana na x wangu amekondaaa ... Umbwaa yulee....
  15. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

    Mara moja kwa miaka miwili halafu unakumbika!! Mkuu ulitoa lita 10 niniii?
Back
Top Bottom