SOMENI HIYO SECTION 59 YA CRIMIMINAL PROCEDURE ACT KUONA POLISI WANATOA WAPI HAYO MAMLAKA ACHENI MANENO MENGI.
59.-(I) Any police officer in charge of a police station or any police
officer investigating an offence may take or cause to be taken measurement
of prints of the hand, fingers, feet...
sijaona hoja hapo yakuleta hapa, swala lililokuwa mezani ni kuanzasha kamisheni ya kiswahili sasa kisa Tundu ni CHADEMA mwenzake ndo asimrekebishe......we akili yako kila kitu inawaza siasa tu
hao mawakili wao vilaza sana, wakili ninayemjua mimi asusii kesi hata siku moja bali anajiandaa kwa hoja za kisheria kutetea wateja wake ukiona kasusa ujue mvivu wa kusoma. USHAURI kususa kwao ndo dalili za Farid kufungwa so Shekh atafute wakili mwingine au ajiandae kunyolewa tena.
kumbe we ndo msemaji wake!! tena walikuwa wanakutafuta. any way sajaona ushahidi wowotw hapo whch mins ts either I or U kuna mmoja we2 hajui maana ya ushahidi. we mwenyewe cheti chako ulichojifunzia kutafuta ushahidi ni feki sasa unashangaa watu kuea na vitambulisho...
nimegundua vilaza na aoga ni wengi, mbona kauli haikuishia hapo? amesema walipe kisasi kwa kuwakamata waliomuua xaxa we unaogopa nn kwani we ndo muuaji. au mnajisahaulisha kuwa hamjui kama moja ya kazi zao ni kukamata wahalifu?! najua kwa baadhi yenu wauaji wale si wahalifu ndo mana mnashangaa
pumba tupu, ameshindwa kuzuia hisia zake. kwa hyo angekojolea m2 mzima ndo hasira zao dhidi ya makanisa zingekuwa justified? mambo ya kesi ya nyani kwa ngedere hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.