Recent content by kitandachapesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na baba yangu

    Ushauri mzuri.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Ogopa sana mtu atakaetumia nguvu kulipinga hili.......... Ndo mhanga namba Moja. N.B. Wapare wanaongoza kudanganya makabila mengine kuwa wao ni wachaga.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu hanipendi

    Asipoelewa hili wazo ndo basi tena. Vita ya kwenye ndoa mwanamke huwa anachoka na kuzeeka lkn sio kufa......ila upande wa pili hawaeleweki ndo maana now days ..... Ni kuwa makini ....mtu anataka asepe na familia nzima.. Mtoa mada usishindane na mwanamke maana nae akisema aliwe hata kwa siri...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Mtego huo ......STUKAAA Ila sijasema usioe.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa kuoa mwanamke mwenye chembechembe za imani ya haki sawa

    Yani umekandamiza sana penseli. Nakuona pia kama ingekuwa ni uwezo wako ungekataa kabisa hata kupata mtoto wa kike...........
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumtafuta mchepuko wa mumeo

    Nimecheka.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kutawaliwa na mke wangu kitu ambacho sikipendi katika maisha yangu

    Unaogopa kuyumba kiuchumi kuliko kitu kibaya chochote kile. Mkuu usiwe hivo. Mali sio zaidi ya afya....UHAI.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

    Aseeeeee
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

    Kama ni mjinga sawa ...mali zitaliwa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Katazo lenye walakini mkubwa

    Soi Afghanistan pekee.....Bali na nchi nyingine nyingi ambazo makafir hawana uhuru wa kuabudu. Kuna moja miaka ya hivi karibuni ETI wanawake ndo wameruhusiwa kuendesha magari......Daaaah
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

    Imebidi nicheke mnoooo. Kama ni kweli basi ni balaa zito.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    Mi sio mtaalam lakini nimeona nitue nishee kidogo nnachojua. Japo mitumba Iko tofauti tofauti.....nguo za watoto,za wakubwa, ...kariakoo mtaa wa narung'ombe...... Na mingine mnazi mmoja. Ila ukiweza kununulia mzigo wako godown usiende kwenye hayo maduka ni nafuu kidogo maana mizigo wanashusha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nina elements za kuwa 'genius' lakini mazingira magumu yaliniharibu

    Ushauri bora kabisa kwenye uzi wake.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baba yangu anasema simtunzi, anamtangazia kila mtu na kufichua siri na shida za nyumbani

    Watu wengi hasa nchi za Kiafrika tunadanganyana sana kuhusu wazazi na neno laana.
Back
Top Bottom