Recent content by kitambi hussein

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

    Mimi hua namtawaza mwanagu sina kinyaa na naona sahihi kbisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi halmashauri ya Malinyi akataa gari ya milioni 100, asema fedha zijenge zahanati

    Duu wee jamaa hivi unajua maana ya maigizo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Jamii forum genge la uhalifu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Ndio maana mnaficha id zenu .kama ni wakweli kwanini mfiche uhusika wenu kama sio wahalifu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Sio lazima uone wewe unajua alichoandika melo hebu nawe tuwekee hapa tuone
  6. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Kosoa kwa sataha sio kejeli matusi na dharau.kwanza mnajua kua huyo melo kakamatwa kwa sababu gani?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Tatizo ushabiki.usalama hauwezi kuacha mtu mmoja aharibu nchi kisa eti uhuru wa habari
  8. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Una uhakika wa hilo? Kwanini akatae kutoa ushitikiano kwa polisi kama alichoandika ni cha kweli?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Hivi mnajua kitu gani kilichopelekea kushikiliwa? Tuache serikali ifanye kazi.huwezi kuhatarisha amani ya watu zaidi ya milion 45 kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole aeleza mikakati yake baada ya kukabidhiwa chama

    Kwa sisi wakazi wa ubungo tunaona anafaa sana pole pole
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Jamani.jamani hii hatari sana khaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bei halisi ya korosho ya Tsh 4000/=kwa kilogram 1 ni kwa mikoa ya kusini tu!!!

    Acha kulia lia soko unalijua umekaa kulia lia peleka sokoni
Back
Top Bottom