Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

Nakumbuka prof.Safari,makamu mwenyekiti wa CHADEMA alipata kuwaambia watu kuhusu huyu mtu kutokuziheshimu kabisa sheria!

Nakumbuka..alisema!!
 
[HASHTAG]#FreeMaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Bringbackben[/HASHTAG]
 
Ccm tambueni 2020 kuna uchanguzi tena mnaandaaje akiri tuwape Kura
 
Katika hili sintotetereka, nitasimama imara kushabikia haki... Tanzania ni yetu, tumepewa na Mwenyezi Mungu, wala si mali ya mtu mmoja ama watu fulani, ni mali ya watu wote.

Ndio maana sikuzaliwa Kenya wala Msumbiji.
Wote tuna haki na hadhi sawa, watawala na watawaliwa, ukijaribu kuondoa hii, unaondoa amani, na amani ikiondoka inaleta hofu... Na hofu ikitanda inaondoa woga na woga ukiondoka tabaka tawala linakuwa mashakani.
 
Na ndicho ninachokiona hatuna muda mrefu..hii hofu tunayotiwa niyamuda tu iko siku tutapata upenyo...
 
Teh teh lilikua limepinda mpk linyooshwe?

Alafu wewe Nonda mbona pm zangu ujibu
Hivi biin saa 8 ilikuwa inajibu?
Wacha mambo hayo. Una fedha ya kununulia sandarusi? Ntuzu acha hizi kitu, mambo zinakwenda kwa mwendokasi. Usirete mautani saa hii.
Unamkumbuka ulimboka anaishi hapa mabwepande, sio kule ndani ya msitu,hapa kijijini. Ukija hapa uliza tu, wapi kwa Nonda,utaoneshwa hekalu langu, naishi maisha yale mkuu anataka/anapendea tuishi.
 
Back
Top Bottom