Recent content by kisuwake

  1. kisuwake

    Nini kitatokea siku ya mwisho kama binadamu wengine watakua nje ya dunia?

    “...siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu...” Nadhani hapo kwenye “mbingu” pana kila kitu kingine ikiwemo hiyo sayari ya Mars.
  2. kisuwake

    Wasomi na kiingereza

    Hata haeleweki
  3. kisuwake

    Wasomi na kiingereza

    Kabisa, amejifanya yuko nondo kumbe ni pumba tu.
  4. kisuwake

    Wasomi na kiingereza

    Unapotosha. Hakuna vitu vya namna hiyo.
  5. kisuwake

    Wazee wa kuopoa mkishalewa halafu asubuhi mnajutia, hebu tueleze ulijutia nini?

    Nilinunua malaya 5N nikapiga kimoja cha fasta (short time), nikavutiwa na kumlipa upya ili tukalale nyumbani kwangu & kweli tulikwenda. Nilipofika home sikukawia, nikabutua moja lingine kali na kwenda naye kuoga. Haya yote yalikuwa mazingira ya gizani. Nilipofika bafuni nikawasha taa...
  6. kisuwake

    Kwanini umfukuze mwanao kisa kabeba Mimba kabla ya kuolewa?

    Duh! Hii imenigusa moja kwa moja. Ni juzi tu nimeripotiwa ujauzito na demu wangu U-20, hapa nimepagawa sio kidogo. Nimemuomba azae, anamuogopa baba yake; mama yangu amenikataza kabisa kumshauri atoe. Sielewi nifanye nini.
  7. kisuwake

    Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

    Hussein Mwinyi ana dharau sana. Ikitokea kafiri huyu kwa namna yoyote ile ameshinda urais wa Zanzibar, nitakuwa tayari kumuhujumu. Pia ni uzwazwa baba na mwana wote kuwa marais, kwani watu wengine hawapo? Ikiwa CCM haina mbadala wa Dk Mwinyi basi ni kheri Maalim achukue kijiti. Allah Akbar!
Back
Top Bottom