Recent content by kisururu

  1. kisururu

    JamiiForums Tanzania ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Huyu Zitto ananisikitisha sana, mungu amjalie aishi aumbuke akijitambua
  2. kisururu

    JamiiForums Tanzania Mangula, TISS mmelibariki genge hili la Lowassa kugawa kwa wajumbe mamilioni ya Xmas na Mwaka Mpya?

    Punguani wewe mbona hujauliza hayo wakati hela zinachotwa BOT, hivi hicho chama cha majambazi kinawapa nini mpaka mjivua uzalendo wa nchi
  3. kisururu

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Kikwete Kuhusu Majukumu ya PCCB Ilinishangaza Sana!

    Huyo JK hamnazo kabisa hata kama anajilinda au anamlinda mkwe alipaswa kuongea vitu vya uhalisia, sio porojo zinazopingana na sheria za nchi. Ni shidaaaaa kua na raisi wa namna hii
  4. kisururu

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Hotuba ya Rais kwa waitwao wazee wa Dar

    Ccm watajuta kuwa na mwenyekiti wa namna hii
  5. kisururu

    JamiiForums Tanzania Kodi ya kupitisha dawa bandarini haya ni mauaji!!

    Cha ajabu Pindi anaruhusu sukari iingia bila kulipiwa kodi, ila kwenye dawa lazima walipe kwa sababu hafaidiki yeye binafsi. Hawa ndio viongozi wa ccm tilionao
  6. kisururu

    JamiiForums Tanzania Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Wachache sana wataelewa andiko lako
  7. kisururu

    JamiiForums Tanzania CCM Ipo Njia Panda - Haina Jinsi zaidi ya kuitumia Kete Ya Dr. Magufuli

    Magufuli ndio mzinzi namba moja na kuhonga nyumba za serikali, kuna dada mmoja geologist alimpa nyumba ya serikali maeneo ya ubungo, kwa sasa kamjengea mbweni nyumba ya kifahari😳CCM hakuna mtu msafi hata mmoja
  8. kisururu

    JamiiForums Tanzania CCM wameiba box lenye kura baada ya kuona wameshindwa.

    Hapo ni wapi?
  9. kisururu

    JamiiForums Tanzania CCM wameiba box lenye kura baada ya kuona wameshindwa.

    Damn CCM!!😁
  10. kisururu

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka tunaomba majibu

    Ulisema 1.6 BL kutoka kwa James ilikua mchango kwa shule yako, mbona mbona siku ya tukio ulisema ni milioni 200? Jisafishe kabla hatujakuflash😳 Mzee Rugemalira atoa Sh200 milioni kwenye mahafali ya Kajumulo Girls High School ~ wavuti
  11. kisururu

    JamiiForums Tanzania Makubwa kama haya: Rais au Ikulu kutokujua ni mzaha mwingine katika kupigania Uwajibikaji

    Ikulu inajua ndio maana bank walitia cash 73b unafikiri ingetoka hivihivi bila mgao
  12. kisururu

    JamiiForums Tanzania UKAWA kukutana punde kukanusha propaganda

    Tujikumbushe maneno ya hekima ya mwalimu
  13. kisururu

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbinu chafu za Lowassa kumhujumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda zavuja

    Tutolee upuuzi huu, mwaka huu mtaweweseka sana, na mwaka kesho mnazimia kama sio kufa
  14. kisururu

    JamiiForums Tanzania Kontena zaidi ya 50 za dawa zashikiliwa bandarani Dar

    Dawa hizo ni donations kutoka kwa wafadhili, serikali inataka zilipiwe kodi, MSD hawana hela za kulipia ushuru. Hapo ndio utaona serikali hii imechoka unapewa msaada tena wa dawa TRA wanasema zilipiwe kodi wakati wafanyabuashara wa migodi mnawapa msamaha wa kulipa kodi
  15. kisururu

    JamiiForums Tanzania Fake or Real? Zitto atuhumiwa kuwezeshwa na IPTL kwa matibabu ya marehemu Mama yake

    Wapumbavu serikali instaka kuhamisha mjadala, Zito ninayemjua hawezi kua juha kutuma ujumbe kuomba hela
Back
Top Bottom