meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Tumekuwa tukiilaumu MSD mara kwa mara kwa kukosekana dawa mahospitalini kumbe kuna ukiritimba wa kipuuzi ambao mimi naulinganisha na mauaji.
kumbe MSD wanapoingiza mzigo wa dawa iwe kwa wao wenyewe kuagiza au hata ule ulionunuliwa na wahisani basi vijeba vya TRA vinakimbilia kuubamiza kodi ya kufa mtu kiasi cha MSD Kushindwa kuclear mzigo.jambo hili linapelekea MSD kukosa dawa na vifaa tiba na hatimaye hospitali hasa za serikali kukosa dawa na vifaa tiba.
Hivi hazina au TRA wana kichaa?wanabamiza kodi madawa na kutoa msamaha kwenye madini?
Wabunge,wadau wa afya na wananchi hebu tuseme hapana katika hili!