Recent content by kistick

  1. kistick

    JamiiForums Tanzania Binadamu wa Kwanza aliishi Tanzania

    1
  2. kistick

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Ni matibabu ya kichama au? Naombeni mnitoe ujinga jamani-!
  3. kistick

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    Kwanini asiseme sia huwa anasema MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU!
  4. kistick

    JamiiForums Tanzania Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

    utumie akilo sometimes
  5. kistick

    JamiiForums Tanzania Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

    We ni pimbi nani kakwambia police lazima wavae uniform??
  6. kistick

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Leo nasikia kuna range sijui zimekutwa kwani huko bandarini huyu mkurungenzi mpya kashatumbuliwa kwa kuto timiza wajibu wake?? Kama hajatumbuliwa kuna ukweli wowote kwenye hio utamataji?? Pili hivi hakuna waziri husika mpaka mmchoshe mzee?? Why bandari kila siku ndo kunashitukizwa watendaji wapo...
  7. kistick

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Hivi hakuna mkurungenzi huko bandarini??? Kama yupo kasha tumbuliwa?? Kama bado huu mchezo ni kweli?? Kama ni kweli why mmanchosha raisi hakuna waziri husika mapaka raisi!
  8. kistick

    JamiiForums Tanzania Kwanini taasisi ya LHRC ina uongozi wa kudumu?

    Low thinking capacity huna cha msingi cha kuwaza?? [emoji2][emoji23][emoji23]
  9. kistick

    JamiiForums Tanzania Kwanini taasisi ya LHRC ina uongozi wa kudumu?

    Kwasababu ime hasisi na huyo kiongozi
  10. kistick

    JamiiForums Tanzania Media kususia habari za fulani: Je, Tanzania tuna Independent Media yenye jeuri hiyo?

    Wewe ni mwiga namba moja kama kutamka anaye susiwa habari huwezi unaweza kujenga hoja gani?? Mwoga ila kukujibu ni haki yao kikatiba na ina matokeo chanya sana kwao na future ya media tz ila acha woga sema kususia habari za makonda fulani hiyo vepeee
  11. kistick

    JamiiForums Tanzania Nape atakuwa na ujasiri wa kupeleka Ripoti ya Makonda kwa Rais?

    Why not labda muheshimiwa hajaona kilichotokea hawezi kuogopa
  12. kistick

    JamiiForums Tanzania Clouds mmechanganya siasa na biashara, sasa mjiandae kupokea matokeo ya maamuzi yenu

    Siasa ni ipi?? Wamechanganya na chama gani cha siasa. Kuna watu najiuliza walizaliwa saangapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawawezi kufikiria hata kwa dakika moja tu
  13. kistick

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Nonsense huu ni kukosa akili kwani kule centra wakina TID wali hojiwa na marafiki zao??? Huu ni ujingwa wa mwaka kama ni jerry muro aki tadhimini hafau kuwa hata msemaji wa yanga
  14. kistick

    JamiiForums Tanzania Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

    Ni wasiku nyingi sanaaa kabla hata bashite hajaanza huyu jamaa ana ma ma billion ya hela bila ulizi nia hatari wanaweza ku mteka kwa kutaka hela ni kawada hata papa ana alinzi zaidi ya hao
  15. kistick

    JamiiForums Tanzania Wapinzani AMKENI

    Wapinzani anzeni kujipanga katika ngazi ya kijiji maana huwa manafocus mijini tu, CCM wanaanza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe wanatafutana uchawi anzeni kuamka sasa, hii ni fursa kwenu tatizo na nyie mnapingana huko huko lipumba anawapinga wapinzani umoja wenu ni muhimu
Back
Top Bottom