Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Thubutu! Ile ripoti itaishia Ofisini kwake tu. Haiendi kwa Rais, au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu coz imeandikwa kishabiki zaidi. Ningekuwa mie ndo Rais naletewa, ningemchapa nalo usoni na kumwambia arudi kuandika upya.
Halafu si mmemuona alivyobadilika leo. Kajifunza kuwa kumbe huu mchezo, hauhitaji hasira. Kalamba milioni 5 yake kutoka kwa Mengi na mchezo umemalizika. Kama mnabisha, mwambieni atakapowasilisha kwa Rais aitishe Press Conference na waandishi wa habari
Magufuli hapendagi Ujinga