Recent content by Kistaaj

  1. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

    Na hilo joto la bongo
  2. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Paul Makonda Arusha, wakuu wengine wa idara kwani nyie mnajisikiaje?

    Hahahahahaha we noma Wanakwambia usitembelee nyota
  3. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Kwa nn watu wanapenda kutufananisha na nigeria Wanajua history kweli Wao wapo 200 million (2)wao wametapakaa uklimwenguni kote duniani Huwezi kulinganisha na tz Na kwa nn diamond pekee ndo afanye yote kwa nn na wengine wasijaribu Tz ni kulaumu tu nonsense
  4. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Kudaadeki
  5. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliofanya vizuri Africa mwaka 2023

    Mmakonde koho koho imekuwaje
  6. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

    Nimecheka sana na tena usiku wa manane
  7. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

    Hakuna kitakachobadiika kama ulivosema watu ni wale wale
  8. Kistaaj

    JamiiForums Tanzania Wakati India na Urusi wanapambana kutua mwezini sisi tunasema hatuwezi kusimamia bandari!

    Aibu sana ndugu yani aibu 2023 tunashindwa kujisimamia
Back
Top Bottom