Recent content by kissa anyigulile

  1. K

    Joshua Nassari: Kuanzia sasa sitashangaa tena kiongozi anapomuweka ndani mtu

    Yaani upewe hela utegeneze barabara, wewe unaenda kwanza kumalizia nyumba yako, kweli nisikutupe ndani? Mkataba gani huo? Ni wizi wa moja kwa moja!
  2. K

    Pambana

    Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani?
  3. K

    Hivi ndio vyakula Wanaume wa Mbeya wanakula kuanzia Asubuhi

    Mbeya bana vichekesho sana! Nina majirani wawili, mmoja ni mtu wa dini sana, na mwingine ni mtu misuli-misuli hivi, wakati wote macho mekundu!(wanamtuhumu eti ana mambo-mambo!) Wote wawili ni wakulima, wamelima miwa na mahindi. Huyu mtu wa dini kila siku analalamika kuibiwa mazao yake. Huyu...
  4. K

    Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Ukiwa ndani ya anga za askari, na unajua fika kwamba una kosa(lazima iwe hivyo) uwe mpole sana! Jitahidi kubembeleza(mara zote hawakubali), kubali maumivu, chukua tiketi yako, nenda. Ni wazi maumivu ni Makali sana, shs 30,000/= usawa huu siyo mchezo. Vinginevyo utaishia lokap, na zikutoke...
  5. K

    Kama upo ugenini na huna sehemu ya kulala fanya yafuatayo

    Sasa ngoja valangati liibuke humo! Chupa zinarushwa juu kwa juu kama roketi! Hapo ndipo utakapojua kumbe kachumbali si mboga!
  6. K

    Watanzania nani ameturoga?

    Hata humu wamo wengi tu! Ujinga mtupu!
  7. K

    Shinyanga: Jaji atoa amri shahidi ambaye ni Afisa Ardhi atokee maabusu kuja kutoa ushahidi baada kudharau wito wa Mahakama

    Daa! mpaka July! Kazi ipo! Na kazini kwako unapigwa barua: "Uzembe kazini, kusudio la kukufukuza kazi"
  8. K

    Shinyanga: Jaji atoa amri shahidi ambaye ni Afisa Ardhi atokee maabusu kuja kutoa ushahidi baada kudharau wito wa Mahakama

    Mara nyingi kunakuwa na Mwanasheria wa Wizara, Shirika, nk, hizo ndizo kazi zao, alikuwa wapi?
  9. K

    Juzi kati nimepanda Coaster za magazeti usiku Dar-Arusha, tulipepea njiani

    Natumaini Kamanda amekusoma, maana alishapiga marufuku Kali sana huo usafiri. Sasa subiri kimbembe!!
  10. K

    Serikali iwasaidie wakulima wa mihogo wa Wilaya ya Handeni

    Biashara ya mihogo hivi sasa ni ngumu sana. Siku hizi kuna mihogo-kisasa, inalimwa popote pale, haichagui hali ya hewa. Hivyo kwenye msimu wa mihogo huwa ni mingi mnoo!! Wengi wanaicha inakomalia shambani! Kilimo cha mihogo wala hakihitaji mbolea!
  11. K

    Inawezakana CDF na IGP wakapiga salute kwa mkuu wa Wilaya?

    Safi Sanaaa! Unaona kalivyoipokea? Kamewivaaa!!! Congratulations!
  12. K

    Dar: Amuua mkewe kwa kitu chenye ncha kali, atokomea kusikojulikana

    Na- imagine kama angemtupia paka akaila, kisha(baada ya kumaliza) kujilamba-lamba na kaulimi kake! Miauuu!!!
Back
Top Bottom