Shinyanga: Jaji atoa amri shahidi ambaye ni Afisa Ardhi atokee maabusu kuja kutoa ushahidi baada kudharau wito wa Mahakama

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Kuna session ya CAT Huko Shinyanga, ni revision dhidi ya order ya mahakama kuu ya MATUMA J.

Shahidi ambae ni afisa ardhi alipata summons tatu hakuja Mahakamani ikatolewa ya nne kwa jina lake hakuja kwa sababu alipangiwa jukumu na mkuu wa idara.

Ikatoka nyingine akaja akasema yeye sio mkuu wa idara na hawezi kutoa ushahidi kwa mujibu wa sheria hadi mkuu wake wa idara aje

Jaji akasema kwa kuwa hamji mkiitwa utatokea gerezani, akampeleka gerezani.

Tarehe iliyofuata, mkuu wa idara akaja.

Jaji akasema kwakuwa amekuja anayetakiwa kutoa ushahidi wewe ulie gerezani utatoka huyu atakayetoa ushahidi ndio atakuwa ndani hadi mwezi wa saba kesi itakaposikilizwa.

Ngwilimi akapeleka revision,

Huku shinyanga siku hizi pazuri sana. 😂😂😂

Order ya kumshikilia imefutwa under CAT R 39 (6) reasons reasons reserved. 😄😄😄
 
Huyo judge noma aisee sio hawa majaji wa mchongo waliopewa ujaji kwa kumfunga Sugu aka TAITA
 
Huyo judge noma aisee sio hawa majaji wa mchongo waliopewa ujaji kwa kumfunga Sugu aka TAITA
Matuma alikuwa ni Senior attorney so anaujua Uhuni wote wa watu wanaoitwa mahakamani Kuja kutoa Ushahidi na hawajali asa maafisa Wa Serikali
 
Back
Top Bottom