Recent content by kiss9

  1. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

    Mshahara anaolipwa mtumishi package yake huwa haihusishi kusaidia wazazi,ndugu,michango ya harusi ,zawadi,nyumba ndogo nk. Tutathmini matumizi yetu ,sina maana kuwa mengi ni ya anasa hapana tunazidiwa sana maana mengi huwa sio ya kwetu kama watumishi,matumizi mengi hutokana na mtu mmoja tu kiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Kisheria likizo za Majaji nje ya nchi zinapaswa kugharamiwa na Serikali

    Kwa nilivyoelewa mimi ni kuwa mh rais amekuwa anasaini vibali vya wao kwenda nje,hilo halina shida ndio maana hajawahi wakatalia Hofu yake ni kuwa ana taarifa kuwa wakiwa huko hufikia nyumba za wageni za kifahari na hilo sio tatizo pia,tatizo ni hao wanaowalipia hizo gharama Hebu tujikite hapo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Nakubali sana hizo semi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wakili wa kujitegemea, Awadh A. Said Zanzibar atoa ufafanuzi wa kauli ya Prof Kabudi kuhusu mamlaka ya JMT kwa Zanzibar

    Lengo la wengi sijalielewa ila kwa mawazo yangu katiba ni kitu kinachorekebishika nadhan ni vyema viongozi wakaliona hilo na kufanya mabadiliko chanya ili tusonge mbele bila kulaumiana,muungano ukivunjika wapo watakaoumia sana kuliko tunavyofikiri,nadhan pia sio busara kushabikia uvunjike ili...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Nilikuwa naibiwa simu dirishani halafu wanatupa laini ndani ili ununue simu tena
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Waigizaji wengi pia ndio maeneo yao hasa wakuigiza
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Kuna eneo linaitwa mwananyamala Ujiji ni maarufu ndio mahakama ya simu Mwananyamala kuna maduka ya dawa za asili mengi kuliko maduka ya dawa baridi!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Hatuwezi kutoka nje ya hapo,tukiweza kujenga umoja na majirani zetu mtaani ama ofisini ama hata ndani ya daladala! Ni rahisi kusogea Ni ngumu kama hata kwako tu umeweka ukuta mrefu na mitambo ya kuzuia watu kuona kwako then ukahubiri umoja Ni ngumu inapotokea nje ya nyumba yako hakuna jirani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Jaribu kwanza kuungana na jirani zako hapo mtaani Changamoto au mafanikio utakayoyapa ni somo tosha kwetu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Ikitokea nimehama Chama, nyumba yangu ninayoishi na familia chomeni moto

    Hajataja sababu za kutohama
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya Atlas primary school Madale

    Ongeeni na wenye shule mpate suluhisho
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hemed kivuyo na habari ya kocha wa simba Omog

    Hata aliyehariri taarifa yake ana shida pia
  13. K

    JamiiForums Tanzania MWAKA 2017 UNAISHA SIONI CHOCHOTE CHA MAANA KUNIFANYA NISHANGILIE ZAIDI YA KUWA NA MAJONZI...

    Shangilia kuwa mzima ndugu yangu! Wengi hawajaweza hata kuuumaliza
  14. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Kama huko ni kuzuri msirudi huku chukueni na ndugu zenu wote Na kama unaona kila anaerudi anakufa ,hatuna cha kukujibu!
Back
Top Bottom