Recent content by kiss daniel

  1. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

    Jambo gani lifanyike katika Jimbo Hilo gentleman?
  2. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

    Gentleman ushauri wako ulioutoa ili kanisa liufanyie kazi ni upi? Mbona mimi sion ushauri wowote uliotoa Taja kondoa Kuna matatizo gani ili kanisa lifanyie kazi
  3. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Chama cha AAFP chamjia juu Heche kukiita "chama cha mfukoni"

    Anachekesha kama siyo shangazi yako
  4. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

    Ulichoandika hapa siyo comment Bali umetoa darasa Ubarikiwe sana
  5. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wapata pigo tena!!

    Mashariki ya kati wanachojua ni kuuana tu Leo nimesikia tena na Pakistan jamaaa kajitoa mhanga kauwa watu kama 14 hivi
  6. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

    Huna adabu kabisa Mke wa mtu unaitwa kwenda kuonana na lijamaa na unapelekwa na mumeo ? Huna adabu
  7. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Kwaresma na Pasaka Special Thread

    Asante sana
  8. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Kwaresma na Pasaka Special Thread

    Bwana awabariki sana
  9. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Kwaresma na Pasaka Special Thread

    Nakutakia kwaresma njema ndan ya jumaa kuu
  10. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Kwaresma na Pasaka Special Thread

    Tuendelee kuwaombea wenzetu wafungwa na wagonjwa
Back
Top Bottom