TANGAZO
Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery.
Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.
Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe.
Awe anajua kupiga passport na kuprint...
Nimepata elimu kiasi kI kubwa.Ila Naomba kujua umadhubuti wa Massey Ferguson MF 375 ya Pakistan. HP75. Mwenye uzoefu pls msaada. Nataka nitumie morogoro
Ndg. Unashangaa nini. haikuwa mahakamani. Ilikuwa negotiation team . HUU NI USHINDI
MTABIRI AMESHINDWA. UZURI HAKUJIBIWA. ALIOWASIFU NA KUWATABIRIA USHINDI WAMEMJIBU NA KUKATAA UTABIRI WAKE. ANGEKUWA MWANASHERIA MZURI WANGEMSIKILIZA. HAYA SASA MNABIDI WAFUASI MSIOJIULIZA SABABU YA UPENZI WENU...
Ndg haikuwa mahakamani. Ilikuwa negotiation team. Unashangaa nini. HUU NI USHINDI.
BY THE WAY.
MTABIRI AMESHINDWA. UZURI HAKUJIBIWA. ALIOWASIFU NA KUWATABIRIA USHINDI WAMEMJIBU NA KUKATAA UTABIRI WAKE. ANGEKUWA MWANASHERIA MZURI WANGEMSIKILIZA. HAYA SASA MNABIDI WAFUASI MSIOJIULIZA SABABU YA...
Ndg haikuwa mahakamani. Ilikuwa negotiation team. Unashangaa nini. HUU NI USHINDI.
BY THE WAY.
MTABIRI AMESHINDWA. UZURI HAKUJIBIWA. ALIOWASIFU NA KUWATABIRIA USHINDI WAMEMJIBU NA KUKATAA UTABIRI WAKE. ANGEKUWA MWANASHERIA MZURI WANGEMSIKILIZA. HAYA SASA MNABIDI WAFUASI MSIOJIULIZA SABABU YA...
MTABIRI AMESHINDWA. UZURI HAKUJIBIWA. ALIOWASIFU NA KUWATABIRIA USHINDI WAMEMJIBU NA KUKATAA UTABIRI WAKE. ANGEKUWA MWANASHERIA MZURI WANGEMSIKILIZA. HAYA SASA MNABIDI WAFUASI MSIOJIULIZA SABABU YA UPENZI WENU KWAKE MCHANGANYE NA AKILI ZENU.
Nimeamini mtoa mada na baadhi ya wachangiaji wanachangia kwa mhemuko fulani hususani wa kisisa. Juhudi kubwa zimefanyika na wataalamu wa serikali kufikia hapo bado Mnabeza. Tumefanikiwa sana kwa taarifa ya leo hasa kubadili makubaliano kiasi ya mkataba. Pia fedha hizo bado ni nyingi Tumepewa...
Sifa za kijana anayehitajika.
1. Awe mkazi wa eneo la Tabata, Kinyerezi, Kisukuru au maeneo ya karibu na Segerea Dar es Salaam
2. Awe mwaminifu na muadilifu wa kweli na sio kuigiza; na anayependa kazi yake
3. Awe na ujuzi wa kupiga picha na matumizi ya computer kwa fani hiyo.
4. Awe na...
Wanaomkubali ni waru wa ajabu sana. Kuonesha kibali cha matangazo sio tatizo. Suala ni kukiuka maadili ya tiba iwe riba za kiasili au la. Kama tiba yako ni nzuri wagonjwa watakuja wenyewe. You don't need to persuade them. If you so ni UTAPELI
sunzu, malumbano ya nini jukwaani. Huu ni utovu wa nidhamu. kama una hoja ipeleke kwake kwa maandishi. Tafsiri ya majibu yako ni kuhaha tu huenda unahusika
Nimefanya malipo toka 24.08. ya 800,000 mtandao wenu ukasumbua. Nikawapigia mkaahidi mtarejesha nimepiga mara kadhaa kila mhudumu ukimweleza tatizo anakuambia kata upige tena.
Kumbuka kila ulipiga unakatwa hela taslimu na sio dakika za kujiunga. Tafadhali toeni taarifa rasmi na naangalie the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.