Sifa za kijana anayehitajika.
1. Awe mkazi wa eneo la Tabata, Kinyerezi, Kisukuru au maeneo ya karibu na Segerea Dar es Salaam
2. Awe mwaminifu na muadilifu wa kweli na sio kuigiza; na anayependa kazi yake
3. Awe na ujuzi wa kupiga picha na matumizi ya computer kwa fani hiyo.
4. Awe na mdhamini wa
kuaminika
5. Awe na uthubutu wa kusimamia kazi anayopewa
ALIYE TAYARI ANITUMIE UJUMBE KWENYE EMAIL YANGU. siwima2000@gmail.com