Recent content by KISOSORA

  1. K

    safari hii urais zamu yetu

    BAZILI PESAMBILI MRAMBA? ili tule nyasi na Mh.BEN akwee Pipa? na sijui Ng'ombe wale nini?:majani7:
  2. K

    safari hii urais zamu yetu

    INSHALLAH,Chukueni nyie mikoa miwili ya K'Njaro na A Town,mtupore au mtunyang'anye sisi wakazi wa mikoa 24 iliyobaki,si ndio utaridhika ndugu yangu.Haya tujadili kero za kina WILLIAMU NGELEJA na WILLIAMU MUHANDO tutoke gizani.:majani7:
  3. K

    Libya na gadafi tutaikumbuka milele.

    Hivi wana JF kule Libya ni maandamano au waasi?maana kama ni maandamano wanapata wapi silaha?
  4. K

    Hali ya Kiafya ya Seif Shariff Hamad

    Si kila ugonjwa unatibika Tanzania,na wala haijalishi mgonjwa gani apelekwe nje au la ikiwa ana ugonjwa usiotibika hapa nchini,Cha muhimu amuombeaye mwenzake na mungu humlipa kama vile alivyomwombea mwenzake. Mimi namwomba Mungu akusamehe kwa kuwaombea wagonjwa viongozi wafe mapema,Aidha...
  5. K

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    SI KWELI,Wewe mpaka leo upo duniani hapa wewe si Mwemwa?na wengine woote waliopo wakina LIPUMBA,SLAA,MBOWE,KAFULILA,MNYIKA,LISU,KABWE,MDEE NK,Hawa wote sio wema? Kumbuka si kila walichosema wahenga ni sahihi,suala la kufa ni mchakato wa LIFE EXPECTANCY uwe mwema au sio mwema muda wako ukiisha...
  6. K

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Kwenye maandamano ya Arusha TBC watu wa Chadema walionesha kuwa hawana imani na Matangazo yao,sikumbuki kama TBC walijisafisha juu ya hili sasa tutakubali vipi hii ya Loliondo ambayo nako ni Arusha.
  7. K

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Tuorodheshee majina ya ma Ustadh walioenda huko ili tujiridhishe kama ni maustadh kweli kwani ukishawaorodhesha tutawatafuta watueleze ushiriki wao kama ni kweli,ama juu ya kuwa hakuna linaloshindikana kwa YESU kama utapenda tunakushauri uje huku Chawata uthibishe ukweli huo kwani ni miaka sasa...
  8. K

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    ukisema udini unamaanisha nini? Ukristo,uislamu upagani au? Fafanua.
  9. K

    Kumbe ukiukwaji wa maadili ulianza kipindi cha j.k.nyerere?

    Jibu swali nililouliza kwenye mada kwanza. Pia nawaalika wale wazee waliokuwepo kipindi hicho watuambie kama sheria ya manunuzi ili kuwepo au la.
  10. K

    Kumbe ukiukwaji wa maadili ulianza kipindi cha j.k.nyerere?

    Nilisoma jana thread ya kilichomtoa Kikwete Monduli,Mwandishi wa thread hiyo alionesha hisia zake kwa kile alichokiita kuwa aliondoka kwa aibu kubwa kutokana na kumchongea bosi wake. Mimi nilivyofuatilia vizuri mjadala huu nikaona kuwa Kikwete alichofanya alitekeleza wajibu wake kumfahamisha...
  11. K

    Watu wamesisimka sana kumwona Dr. Slaa bungeni leo

    Ufafanuzi tafadhali TANZANIA kila mtu ana Rais wake?au una maanisha nini sijakuelewa naomba ufafanue.
  12. K

    Ngeleja akiri kazi aliyopewa ngumu

    hakuna sababu ya kuchambua ahadi za kuhusu umeme ni wastage of time,sisi tunataka umeme kwisha.
  13. K

    What is the real definition of UPINZANI?

    Maana ya upinzani kwa Tanzania ni kukosoa lolote lile linalofanywa na chama tawala,halafu ukisha kosoa na wewe kama mpinzani ukikosolewa kwa jambo lolote hutakiwi kukubali kwani ukikubali tu utakuwa umekivunjia heshima chama chako.Kwa ufupi wengi tunaamini upinzani ni kuipinga serikali tu.
Back
Top Bottom