Recent content by KisiwaChaJagwani

  1. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndg Nimeuliza tu kama umefatilia vzr utaona ni mtazamo ambao tunahitaji kujiuliza kaupata ufafanuzi
  2. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Bas tuwe wavumilivu pengine kuna mazuri mbelen
  3. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tanesco hatimae wametoa nafasi za kazi kule utumishi Swali Kada ya biashara hamna nafasi je wameshindwa kutoa kwasababu kunawatu wengi wapo kwenye databank?
  4. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania WanaJF, sina mbele wala nyuma… ni mateso tu 💔🥀

    Mungu Anajua Unayoyapitia Kesho Yako Inawezekana Ikawa Bora Kuliko Leo
  5. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hii website walivyo iboresha waweke wazi waliokwenye data Bank na score marks per each candidates
  6. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania Usichanganye ulipo leo na unapoelekea kesho.

    Naunga mkono hojq
  7. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    December hiyo inakuhusuu kuingia kwenye interview
  8. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Unapiga interview kabisa
  9. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Walitoka kwenye Pdf za placement status bado zina soma passed and stored into the data bank?
  10. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi nimgumu sana kwangu sijui kama nitatoboa salama

    Duh huu mwezi dume huu ndugu wengi tunapitia katika mwezi huu
  11. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naunga Mkono Hoja
  12. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwan unapokuwa select kwenda oral wanachoangalia ufahulu ulikuwa kwenye passmark zao kwhy kama cut marks 100-80 hapa wote wanakuwa wamefaulu haijalishi una 100 au 80 mnapewa nafasi sawa ila kwanzia 79 below not selected Kwa hoja yako kama wanaangalia ufahulu wa alama kama upo below inabidi...
  13. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sijawah ona ufaulu kisha ukose nafasi hii nadhan kuna namna utumishi kuna msosi wanaandaa walaji muwe wavumilivu tu
  14. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kiukwel hamn jibu sahihi hapo ni 50/50 kwamaelezo ya utumishi
  15. KisiwaChaJagwani

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Siku imeisha bado hatujajua utumishi hili neno passed and stored in the data bank ita Pendeza kesho waje na statement
Back
Top Bottom