Recent content by kisiri mwihechi

  1. kisiri mwihechi

    Chenji za kubana matumizi zipime ardhi Tz.

    Kumekua na migogoro ya ardhi nchini kwa muda mrefu na sababu ni serikali kushindwa kutenga na kupima ardhi ya watanzania na kuacha migogoro kuendelea miaka nenda miaka rudi. Ingependeza sasa hizo chenji za kubana matumizi na hizo za amsha amsha bandarini zikaelekezwa eneo hili la kupima ardhi...
  2. kisiri mwihechi

    MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Mwanahalisi wanaikosaoa serikali kwa hoja za ukweli. C majungu. Sasa kama unataka nyeupe waiite nyekundu utuambie. Wao wataendelea kufanya kazi yao kama kawaida ilimradi hawavunji sheria za nchi. Kama huwapendi itabidi ujitundike. Kazi inaendelea na zaidi sasa kubea ndani ya mjengo ha ha ha...
  3. kisiri mwihechi

    Mbona kimya sana zanzibar kulikoni!!

    Mh magufuli malizeni mgogoro wa zanzibar. Huu ubabe wa nini? Kulikua na haja gani kufanya uchaguzi kama matokeo hatuyataki? Wafanyabiashara zanzibar wanashindwa kujiingiziza kazini kwa hofu ya vurugu inayo wezakupelekea upotevu wa mali zao. Fanyeni maamuzi magumu ikibidi kuondoa huu mkwamo.
  4. kisiri mwihechi

    Mamlaka Kikwete anayo lakini kwa maisha haya!!

    Tumetangaziwa kesho kuwa ni siku ya mapumziko eti kwa kuwa rais mpya anaapishwa. Maisha yetu haya ya tabu na shida. Binafsi nilikuwa na mgonjwa bugando ilikua afanyiwe oparation kesho sasa tumeambiwa kesho ni mapumziko ni watu wangapi watapoteza dili zao kwa tangazo hili. Au hata kupoteza...
  5. kisiri mwihechi

    Kati ya sababu zote zilizotolewa, ZEC itufafanulie hili

    Zile kauli za siku nyingi kwamba bara imeikalia zanzibar kimabavu zimedhihirika. Hawa watu wa tume wanapokea tu maelekezo toka kwa vigogo bara na kuyatekeleza jinsi yalivyo. Hawana nguvu yoyote na tume si huru. Tabu sana.
  6. kisiri mwihechi

    Makengeza ya fikra

    Siasa ni ngumu.lkn hulka ya binadam ya kutaka apate yeye kwanza mwingine baadae ndio huifanya kuwa ngumu zaidi.
  7. kisiri mwihechi

    Wabunge wazuri kuanguka nini tafsiri yake

    Tumesikitika kuanguka kwa wabunge kama kafulila aliyeibua mazito kuhusu escrow, tutakosa vionjo vya aina yake na staili ya kipekee ya uwasalishaji toka kwa mbunge wa muhambwe mkosa mali, lakini pia tutamkosa mbunge mahiri toka mwanza ezekiel wenje. Sijui adhabu iliyotolewa na wananchi kwa hawa...
  8. kisiri mwihechi

    Haki ya Kikatiba: Hongera Mkuu wa Majeshi, Hongera wana-JF na Watanzania

    Pamoja sana kamanda. Tulihofia msitu wa mabwe pande.
  9. kisiri mwihechi

    Baada ya Uchaguzi Mkuu tujiandae kushuhudia mnyukano CHADEMA

    Baada ya uchaguzi kweli baadhi ya vyama vitadorora lkn chadema kitastawi zaidi kwa sababu ndicho chama kimevuna wanachama wengi zaidi msimu huu.kitakua na wabunge wengi na kitaimarika zaidi.umenipata hapo wa mihingo.
  10. kisiri mwihechi

    Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    Ccm kwisha kabisa.
  11. kisiri mwihechi

    Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

    Ivi na lile la mkapa wanalipiaga eti? Nauliza tu.
  12. kisiri mwihechi

    Jaji Warioba: Msimamo wangu kuhusu Katiba upo palepale

    Hakuna kitu pale. Maslahi binafsi ndio shida.
  13. kisiri mwihechi

    Tunaenda tukiwa washindi hatuendi kushindana

    Afadhali umewaambia. Magufuli anakomaa nayo kwa kupotosha watu. Hatusemi hakuna kilichofanyika.tunasema kilichofanywa hakilingani na kile kilichostahili kufanywa.ee!! Hawa watu vp!!
  14. kisiri mwihechi

    Jela kwa kumtusi Kikwete na Ridhiwani

    Ok sie malofa pia tunapaswa kuwahi mahakamani kumbe.
Back
Top Bottom