kisiri mwihechi
Senior Member
- Jun 8, 2015
- 135
- 24
Tumesikitika kuanguka kwa wabunge kama kafulila aliyeibua mazito kuhusu escrow, tutakosa vionjo vya aina yake na staili ya kipekee ya uwasalishaji toka kwa mbunge wa muhambwe mkosa mali, lakini pia tutamkosa mbunge mahiri toka mwanza ezekiel wenje.
Sijui adhabu iliyotolewa na wananchi kwa hawa wabunge ni sahihi lkn binafsi nimesononeka sana. Wapiga kura wetu wanatumia vigezo gani kuhukumu.mbona hizi hukumu zao zinatia shaka.
Lkn kwa kuwa tindulisu zito kabwe john mnyika na halima mdee wamerudi ninajiskia ahueni.lkn maamuzi ya wapiga kura wetu ktk majimbo mengine kama hayo niliyoyataja yanatia kinyaa.