kisiri mwihechi
Senior Member
- Jun 8, 2015
- 135
- 24
Kumekua na migogoro ya ardhi nchini kwa muda mrefu na sababu ni serikali kushindwa kutenga na kupima ardhi ya watanzania na kuacha migogoro kuendelea miaka nenda miaka rudi.
Ingependeza sasa hizo chenji za kubana matumizi na hizo za amsha amsha bandarini zikaelekezwa eneo hili la kupima ardhi ya watanzania kuepusha mauaji yanayoibuka kila kukicha.