Recent content by Kisinger

  1. K

    JamiiForums Tanzania Aina ya viongozi wa nje wanaoitembelea Nchi yetu awamu hii inasononesha

    sio kazi ya cdm kuhukumu watu kwamba wewe usije. anayehitaji kuwa cdm karibu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia kuanzia shule za sekondari mpaka vyuo vikuu? Jadili

    achana na kiswshili, ongeza mkakati wa uelewa wa english. pili tuko na wenzetu wa EAC, tusiende kivyetuvyetu, do things in consideration that we are east africans, that should be the spirit
  3. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    usanii mtupu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aitaka serikali kutangaza njaa nchini

    Tofautisha kuwepo kwa njaa na bei ya chakula kuwa juu! it is a matter of price settled at the market. soko lina chakula, tatizo ni bei? mkulima anatakiwa naye afurahie bei ya juu! gunia la mahindi likiwa shs 30,000 sawa na kilo tano za nyama ndo mnafurahi? halafu wala gunia hilo kwa miezi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    kufa sio adhabu bali ni wajibu kwa kila mtu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni tujadili kidogo hili la Rais Magufuli kugawa pesa

    Naamini akitoka nje ya bajeti bunge halitasita kuhoji na haliogopi!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msajili: Haiwezekani watumishi wa umma kuiba fedha kwenye Fixed Deposit Account

    ok tutasubiri siyo mbali
  8. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ajibu maswali kuhusu kumchongea Sirro hadharani, kutopeleka rushwa TAKUKURU

    Do not waste time discussing any issues about makonda, he is among those few young guys our president errored in his appointments! whenever recruiting there are many factors to be employed during the process. The president thinks that by appointing young, learned and able to-shout guys is...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    kumbe jpm ana taarifa zote: kwa vituko vya magesa mulongo hafai kuwa kiongozi- he is a canibalist, vituko vya arusha karuka vihunzi vya ile rushwa pale kibo hotel, yule mdada kaleta tafrani pale tra, mambo kibao jk kamhamisha harakaharaka toka arusha kwenda mwanza. aendelee kusimamia mali za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apingwa, ni kuhusu kutumbua majipu

    You guys! Lisu is not talking about or basing on any political party. mnakuwa kasuku na ndiyo maana mnasema Tanzania ni tajiri wakati mnashindia mlenda-sababu ya ukasuku. The issue here is the rule of law. hajamzungumzia president ambaye ni mamlaka ya mwisho-huyo akikuangukia kweli umeenda na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa siri ya kikao cha CC ya CCM mapema ni matokeo ya sera za Magufuli kiuongozi

    Serikali ya Magufuli!! Na iendelee kuitwa hivyo. ccm hamna kitu hivyo usije ukateleza ukasema "serikali ya ccm" wabwage tukutambue kuwa ni mgombea binfsi na uendelèe kuchapa kazi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kama kweli kutumia Fedha za Muungano kujenga barabara kunakuza uchumi

    Let us be sincere. No body has told how much JPM found in the coffers as he took over from JK. The lattet found 25bn in the coffers (from Ben). JPM should tell us- did his prediccesor left few shs? If not he has to act the way he is doing. I mean what is to be found in the coffers is for day to...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    I know Mara has fighters, he has to be careful
Back
Top Bottom