Recent content by Kisima chetu

  1. K

    maumivu makali yanatesa moyo wangu

    Pole sana kwa kuondokewa na ubavu wako Jambo Moja binadamu tunashindwa kulikubali kwamba hakuna kitakachobaki hapa duniani yeye katangulia tu na wewe utafuata cha umuhimu ni kumshukuru Mungu na kukubali kwamba vyote vyake, jiombee wewe sasa kwani mwenzio safari yake imeisha kazi kwako jipange na...
  2. K

    Msaada kuumwa bega la kushoto mgongoni kwa muda mrefu nini tiba

    Pole sana mi upande huo huo umekufa ganzi ngoja waje wenye taaluma zao watatujibu!
  3. K

    Migogoro na kuvunjika kwa ndoa hutokea sana pale ndoa inapotimiza miaka isiyogawanyika…

    Yangu iko wa kumi! niko safe kwa sasa lakini ukweli sijawahi kupata lawama kwa kunyamaza! lakini nimepoteza wengi kwa kuongea.
  4. K

    Kunyoa sehemu za siri.

    Hili somo kweli ngoja nami niwaambie nikijuacho kuhusiana na hilo,kwa mwanamke yasizidi siku 22 na mwanaume mara mbili yake yanakua ni najisi hivyo atakae kaa nayo kwa muda unaozidi hizo siku nilizozitaja basi ajue tu anatembea na Najis,Hakuna matusi kwenye kuelimishana.Nawakilisha.
  5. K

    Msaada Tutani: Binti wa Kinondoni Muslim 1994

    Rafiki wa Familia kwenye Jukwaa la mapenzi na mahusiano? tusidanganyane,kama umeoa huyo mdada mume hana muda si mrefu akipatikana huyo baasi ndoa inkufa...........mbona hujawatafuta wazazi wake?....Lol!
  6. K

    Lugha Kikwazo cha Penzi?

    Hilo si la kuuliza si ukasomeee? kuna matangazo kibao cha kuongea wiki 6 au wengine cha kuongea wiki 3 au 2 nenda kasome ili upate kunena ya kunena jamani!
  7. K

    Ulitumia njia gani kumpata mke/mume/mchumba ulie naye sasa mwanzoni

    Wangu nilimpata mtandaoni hiyo site nimeisahau lakini tupo sasa ni mwaka wa kumi kwenye ndoa na kila siku kama tumeanza jana!namshukuru Mungu sana kwa kunikutanisha nae.
  8. K

    Upendo ni uvumilivu

    Ni kweli lakini upendo upo bado kwa wachache na ndio maana Dunia bado ipo!
  9. K

    My husband tells me I will be a bad mother and insults me, what should I do?

    Pole sana kwa hayo yanaykukuta,samahani kabla sijatoa ushauri wangu lakini wanawake wajawazito ni swa na mtu kichaa,ukigombana nae wewe nfio unaonekana chizi sasa huyo mumeo ni chizi ajiangalie sana,mnaweza kuachana ukijifungua ukiangalia sababu ya kuachana unaona ni ujinga,hatakiwi kukwambia...
  10. K

    Upendo ni uvumilivu

    Habari zenu wanajamii,ningependa kuzungumzia kuhusu maneno hayo hapo juu, upendo ni uvumilivu,jamii yetu ya sasa imejaa mambo mengi yanayoikabili jamii kwa ujumla mambo mengi yanaongelewa kuhusu mahusiano,wake kutoka nje wanaume kuwa na nyumba ndogo na kutoridhishana kimapenzi,suala hilo kwa...
  11. K

    Namtafuta Upendo Mbogo

    Amani Mkumbo uko wapi? mara ya mwisho ilikua darasa la tatu ndipo tulipopoteana,lol!pm
  12. K

    Mama yangu adui yangu

    Wafuasi umetupata,usitufanye tu kama Kibwetere,lol!
  13. K

    Mama yangu adui yangu

    Afadhali sijakuwepo poleni kwa kusubiri series,ukweli mwisho mi ntawaambia itakuwaje kwani hadi hapo mengi ya hayo yaliyomtokea ni fundisho na mdomo uliponza kichwa,ukiwa umepitia mitihani ya maisha mengi unaona kwamba licha ya elimu ya darasani ya maisha nayo ni elimu tosha,kosa ni kwenda...
  14. K

    umbali na athari zake katika suala la mahusiano ya kimapenzi

    Kutakua na usaliti kama unayemuogopa ni binadam,;lakini kama ni ndoa halafu mko mbali mbali kwa malengo ya maisha na mnayemuogopa ni Mungu na si binadam basi hakuna usaliti hapo, ni kujipenda na kupenda maisha halali na ya ukweli usaliti ni sumu ya nafsi.
  15. K

    Mchumba (mke) serious anahitajika

    Usikatishwe tamaa watu tumeolewa na wa kwenye mtandao na ndoa zetu zimedumu hadi sasa ni mwaka wa nane na ni kama tumeonana jana tunapendana sana!!!! weka maelezo kamili tukague ntakupa mdogo wangu Bikra....haaa haaa!
Back
Top Bottom