Recent content by kisila

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Ndugu Mimi nipo arusha je tunaweza wasiliana uje unisetie dish langu la ft 6 nipate channel za eatv na nyingine?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Tv ya Kenya nitaipataje kwenye dish la free to air ?
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa sio kama ile ya 2010...

    Chadema kushika nchi sahauni Hamna sifa ya kuongoza nchi jipimeni mmedanganya wa tz Na helcopta mkapondwa Ombeni mruke Na ungo
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa sio kama ile ya 2010...

    Chadema by by nguvu kwisha wanamalizana wenyewe kiss uongozi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Askofu Desmond Tutu naye amlaum Yoweri Museveni

    Desmond tutu anashangaza kiongozi wa kanisa anamlaumu museveni Kwa kukataa ushetani wa magharibi hongera rais museveni.Africa imuunge museveni mkono Kwa kutaa ushoga.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

    Vitunguu maji+siagi+asali
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Nissan Terrano Bei Nzuri

    Type vielelezo imetemba kilo Mira ngapi name kzalika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananitesa jamani

    CDm ni cha ukanda
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jina la bwana libarikiwe!!

    Yesu ni Bwana wa mabwana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

    Lowasa ni jembe maamuzi kwake siyo ya kubhatisha
Back
Top Bottom