Recent content by Kisikimpingo

  1. Kisikimpingo

    Benki ya CRDB yapongezwa kwa hatifungani ya kijani yenye riba ya 10.25% inayotoa fursa ya uwekezaji kwa wote

    Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.. Mimi ela ya kuwekeza bado sina.nilijua mkopo
  2. Kisikimpingo

    Benki ya CRDB yapongezwa kwa hatifungani ya kijani yenye riba ya 10.25% inayotoa fursa ya uwekezaji kwa wote

    Wasomi wa uchumi tupeni ufafanuzi wenzenu tuliishia la tatu B.....Kama ni mkopo niwahi foleni
  3. Kisikimpingo

    Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

    Sio kweli mkuu..mbona Hana talaka???
  4. Kisikimpingo

    Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

    Wote hawafai...wakilazimisha nitawaendea naijeria
  5. Kisikimpingo

    Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

    Love you mama Tibaijuka... Stay blessed dear
  6. Kisikimpingo

    Njooni tumsaidie ndugu yangu, kapata mwanaume Mkenya

    Wapo vizuri sana.kikubwa maelewano. Ninae Wanyonyi wangu Hana shida kabisa
  7. Kisikimpingo

    Dkt. Kijaji: Anzeni uzalishaji mwezi Septemba

    Hii ni taarifa njema kwa sisi vibarua pengine tutapata ajira
  8. Kisikimpingo

    Nimeomba uhamisho nikajibiwa nitafute wa kubadilishana naye, nahisi kukosa haki yangu

    Safi...tatizo watumishi tuliowengi hatuzijui kanuni,Sheria wa haki zetu
  9. Kisikimpingo

    Nimeomba uhamisho nikajibiwa nitafute wa kubadilishana naye, nahisi kukosa haki yangu

    Mtumishi yeyote ana haki ya kuhama hata bila ya kubadilishana.,hivyo usikariri kwamba ukiwa mwalimu lazima upate wa kubadilishana nae.
Back
Top Bottom