Recent content by kisiki22

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kenya kutaifisha dhahabu ya Tanzania ya Tshs 2Bilioni waliyokamata kama tulivyopiga mnada ng'ombe wao?

    Nadhani inatakiwa kuwa declared kabla ya kupanda merge kwasababu thamani Yale ni kubwa. Kushindwa kufanya declaration kwasababu yoyote huku ukijua mzigo wako thamani Yale ni kubwa ni kosa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ikifuata mkondo wake, CHADEMA kinaweza kufutiwa usajili

    Mbona poa tuu mkuu ni afadhali wafanye hivyo ijulikane chama ni kimoja tuu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

    Sawa mkuu umeongea vyema
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miti ya majirani ni kero

    Nadhani hiyo ndiyo dawn; Nadhani hiyo ndiyo dawa hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo ila yeye alikuwa akisogeza mpaka mara kwa mara nikaamua kupandisha ukuta na tatizo likaisha. Katika picha yako mkuu naona unaukuta nadhani hilo eneo korofi upandishe zaidi naamini tatizo litakwisha
  5. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    waambie waelewe; wao wanadhani mwenzao
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    wewe na familia yako ndo mgemkumbuka kwa kuwa mlikuwa mna talii pamoja huko nchi za nje.Anachofanya Magufuli ukawa mamelalamika sana bungeni lakini mbele yenu nyinyi CCM mlikuwa mnawabeza ili muendeleee kuhomola;
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    hapana huyo anatekeleza yale yaliyokuwa yanalalamikiwa na ukawa kwa miaka mingi; wanaokerwa ni CCM wenyewe kwasababu posho walizozoea kuchota sasa basi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    mkuu swali hili ingefaa wajibu uongozi wa chadema
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

    Ahsante mkuu kwa kutoa mfano mzuri; na ipo mingi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ubungo kuweni macho na huyo Kubenea

    sawa mkuu umeulizwa wewe ni ACT au CCM; jipambanue ili watu waelewe wanaongea na mtu wa mlemgo upi??
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    kweli mkuu namimi ni mmoja wao lakini kabila letu hasa tabora kule hovyo kabisa sijapata kuona.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa wapigwa mabomu na Polisi Musoma Mjini

    Tangu lini nyinyi ccm mkawa na huruma na EL??acha unafiki wako wa kiccm.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Alie mlipa Dr.Slaa ndo huyo huyo aliyemlipa mzee kingunge.
Back
Top Bottom