Recent content by kishunduon8

  1. K

    Tundu Lissu aionya CCM kung'olewa na nguvu ya umma

    Huyu naye atulie apone amwache LAZARO NYARANDU a pay for what he has done those days
  2. K

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    huyu kijana sijawahigi kumwelewa kwanini anapenda kuwatetea mabepari hao wamefunga biashara kwasababu zao binafisi lakini siyo mazingira magumu TZ Hao walizoea vya bure kukwepa kodi na kutolipa ushuru waende tu sisi wenyewe tumewachoka
  3. K

    Tanzania kuiuzia mahindi Zimbabwe tani 700,000

    Ninacho mpendeaga huyu mzee hasafiri safiri sana ila akisafiri ni one shot one goal,hivo yani
  4. K

    Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

    hata hujaeleweka tatizo lako ni nini? Kuipigia kura CCM na hiyo video vina husiana nini mwisho wa siku kura ni siri ya mtu Na kila mtu anamchagua amtakaye
  5. K

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Sasa angetua na airbus palepale sijui ingekuwaje,ila raha sana safi sana mhe Rais wetu magufuli unakubalika kote na watasema sana ila wao wataonekana wanafki.
  6. K

    Hivi uongo kwamba TISS hawastaafu kwanini unaaminiwa?

    Kwaiyo ulitaka tujue na wewe una damu ya TISS?
  7. K

    Tetesi: Rais Magufuli kuongeza muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki

    Kwanini unatuletea taarifa ambazo hauna uhakika nazo.
  8. K

    Kwanini CCM haina viongozi wenye maadili ya uongozi

    Ni bora CCM kuliko vyama vingine vya upinzani
  9. K

    Hii kamati ya bunge haipo huru, inatekeleza maelekezo

    Kamati ya Bunge itatekeleza maelekezo kutoka wapi? Labda Kwenye bunge lenyewe,maana ni muhimiri huru huo
  10. K

    TAMISEMI wanadai wamesitisha uhamisho mbona Wafanyakazi wanahama kwa kulipia kuanzia Tsh 700,000 mpaka 1,000,000?

    Huo ni udhaifu wa nyie nyie waalimu kupenda shortcut unaanzaje kutoa laki 700,000 mi hata buku sikupi na hizo pesa mnampa nani halmasauri au Tamisemi hao watu si mnawajua watajeni wachukuliwa hatua lah si hivyo mtakua ni watu wa kupigwa kila leo poleni lakin
  11. K

    Kamati ya Maadili yamsimamisha Stephen Masele kutohudhuria vikao vitatu vya Bunge. Spika Ndugai apendekeza asamehewe

    Wa Tz bana yani wanaona kama Masele kaonewa vile liacheni bunge lifanye kazi yake,Bunge lina taratibu zake kama umekosa adhabu muhumu
  12. K

    Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

    Hawa ndio CHADEMA wanafki kinoma huyu mbowe siyo wa kumwambia hivyo mzee LOWASA,kwanin walimkubalia agombee kupitia chama chake hizo ndio zinaitwa sizitaki mbichi hizi
  13. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    bado sana tunamuhitaji hii nchi ilikuwa pango la wezi
  14. K

    Wadau uonevu sasa umetosha; tuundeni vigilante kupambana na wasiojulikana!

    ni mawazo pia lakini kumbuka kuna kipigo cha kuchakaaa
  15. K

    Boniface Jacob: MKUU AMETUAGIZA TUKUUE

    Umeongea vizuri sana,wapinzani walishadharau kazi za ulinzi na usalama wa Tanzania,walisema kwa kinywa chao kwamba hawaamini upelelezi wa Tanzania.Sasa wanataka rais aongee nini wakati wao walishajitenga kitambo au hawayakumbuki maneno yao.Wanadhani rais hayaoni hayo?anaamua kunyamaza kwa kuwa...
Back
Top Bottom