Hii kamati ya bunge haipo huru, inatekeleza maelekezo

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Spika anatuhumiwa na Masele then Spika anapokea taarifa ambayo yeye ni mtuhumiwa na anasema maazimio yasijadiliwe na kuelekeza mjadala ufungwe haki inatendeka vipi?

Tuhuma za awali zimetoka PAP ila maamuzi yanatolewa bila kamati kuhoji huko PAP

Wanatuhumu alisafiri bila kibali, je Hadi anateuliwa kwenda pap hatukujua atasafiri nje?

Je, Waziri mkuu amehojiwa na wamejiridhisha kwamba hakupiga simu?
 
The man is too close to Julius Malema rather than ANC members so disturb the friendship
 
Kamati ya Bunge itatekeleza maelekezo kutoka wapi?

Labda Kwenye bunge lenyewe,maana ni muhimiri huru huo
 
Tutafikia tu nchi ya viwanda maana tunatumia masaburi kufikiri badala ya ubongo, kulikuwa na haja gani kutumia pesa kumuita ili aje kuombewa msahaha.

GAG fanya audt ofic ya bunge maana kutakuwa na pesa nyingi zinatumika kwa maamuzi ya kijingajinga, baada ya hapo muwahisheni mirembe
 
Spika anatuhumiwa na Masele then Spika anapokea taarifa ambayo yeye ni mtuhumiwa na anasema maazimio yasijadiliwe na kuelekeza mjadala ufungwe haki inatendeka vipi?

Tuhuma za awali zimetoka PAP ila maamuzi yanatolewa bila kamati kuhoji huko PAP

Wanatuhumu alisafiri bila kibali, je Hadi anateuliwa kwenda pap hatukujua atasafiri nje?

Je, Waziri mkuu amehojiwa na wamejiridhisha kwamba hakupiga simu?
Kwa kweli hapa kazi tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom