Nje Ya Nchi,kuwa Nchi Ambayo Wewe Siyo Raia Wake Na Labda Umeenda Kwa Majukumu Ya Kikazi Ama Makusudi Maalum(out Of Your Country) Nchi Za Nje Ni Mataifa Mbalimbali Zaidi Ya Moja,nje Ya Nchi Yako Mahalia yaweza Kuwa "Foreign States"(marekebisho Kwenye Maneno Ya Kiingereza).
Dah! Kwani Hapa Hakuna Hata Mtalaamu 1 Ambaye Aweza Lifanya Hilo? Labda Kwa Kuwa Hakuhusika Kumfanyia Matibabu. Je,ziara Zile Nyingine Nyingi Kuliko Rais Yeyote Duniani Huwa Ni Za Matibabu? Na Amezidi Nini Mugabe Ambaye Haendi Ulaya Na Marekani? Ni Kitu Gani Mtanzania Amenufaika Nacho Kutokana...
Hatareee! Akili Gani Hii Jamani? Viongozi Hawahawa,ndiyo Wanapita Tena Majimboni Ili Tuwape Wakati Mwingine Wa Kuongoza Kwa Maisha Yepi? Kama Walikuwa Na Mradi Huu Mhe.Rais Angepunguza Ziara Zisizo Na Tija Ili Watimize Azma Yao,na Kwa Kuwa Wao Ndio Wanadhani Wana Akili Sana Kuliko Watanzania...
Hivi Nchi Hii Haina Kiongozi? Kiongozi Ambaye Anajasikiliza Watu Wengine Inapotokea Akapewa Ushauri Hata Kama Ni Ya Maana Kiasi Gani? Tcd, Jukata,wanaharakati Mbalimbali Na Ukiachilia Mbali Ukawa Wote Wameshauri Juu Ya Jambo Hili,cha Ajabu Ni Kuonekana Kuwa Wote Hao Hawana Akili Timamu Na Ni...
Haaaaaaa! Kwa Kutumia Njia Gani Kwa Mfano? Kanda Ya Ziwa Tatizo Ni Chadema Au? Toa Maelezo,yawezekana Una Hoja Za Msingi Ila Tu Hujaeleweka Vizuri. Kumbuka Pia Kanda Ya Ziwa Ndo Moto Wa Chadema Umeanza Kuwaka Na Muda Si Mrefu Ccm Watakuwa Wakisikia Magazetini Na Redioni Kuwa Walishawahi Kuongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.