Recent content by kishimbo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula: Watanzania walioko Ukraine wajitahidi waingie Poland. Wananchi msiwe na wasiwasi Serikali inafuatilia!

    Waingie Poland kwa usafiri gani. Hivi ukimwambia mtu aliyeko mtwara aingie Kenya bila msaada wa kumuwezesha kufika Namanga again ataingia kweli Kenya? Watawezaje kufika huko na watakuwa wanakula nini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu faida 10 za kufanya mapenzi kipindi Cha ujauzito

    Hawa wamasai mnawachukia sana.Kila lililo baya ni la wamasai.Zungumzieni ya kwenu.Ya wamasai tuachieni wenyewe.Ninyi mnadhurika nini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Ni mzigo mzito hasa. Tangu awe waziri wa elimu hakuna lolote la maana alilolifanya zaidi sana ni ubora wa elimu yetu umeshuka sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kunani? mbona simanzi nyuso za washiriki na idadi ndogo ya wahudhuriaji ziara za rais Samia?

    Huyo ndo hafai kabisa wala usimtaje.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

    Bila shaka wewe ni msukuma. Hamna pa kutokea hata mseme nini. Mlitamba sana kipindi cha utawala wa msukuma mwenzenu uliotukuka kwa ubaguzi wa kikabila na ukanda.Tulieni dawa iwaingie.Wasiomkubali mama ni ninyi peke yenu,sisi wengine tunamkubali sana.Usiwataje chadema maana hao ni mavuvuzela...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama January Makamba ana mpango wa kugombea Urais 2030, namshauri akabatizwe kwa maji mengi mapema

    Nani kakuambia Samia anakuwa rais mpaka 2030?Wewe ni Mungu? Acha kuandika mambo ya kufikirika.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, let People know the truth

    When you mention the name "mwigulu" I feel like vomiting.
  8. K

    JamiiForums Tanzania The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    Stop your day dream.People do dream during the night when are asleep.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Wewe ni mwongo sana. Kwa ngulelo stendi hakuna maduka wala hakuna wamachinga walioweka biashara zao mbele ya maduka ya watu.Ngulelo gani wewe unayoisemea?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kumtaja Rais kila mara hata kwa vitu vya ovyo ni aibu, tujirekebishe

    Acha upumbavu. Mimi sishabikii chama chochote cha siasa kwa sababu hakuna hata kimoja kinachonisaidia chochote kwenye maisha yangu.Wote wanapigania matumbo yao tu. Kama hiyo chadema yako inakuletea unga ndani endelea kuwapigia debe.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kumtaja Rais kila mara hata kwa vitu vya ovyo ni aibu, tujirekebishe

    Hakuna serikali ya rais fulani hapa. Serikali ni ya wananchi.Sijui watu wanajipendekeza ili wapate nini!Tuache ujinga na woga uliopitiliza.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Jibuni hoja kwa hoja na si kuweweseka kumkamata Josepht. Wakati wa Magufuli ni nyie hao hao mlokuwa mstari wa mbele kuungana naye kupinga chanjo.Wewe waziri wa afya ulionyesha mifano mingi na kusisitiza matumizi malimao,vitunguu,pilipili na takata nyingine nyingi,pamoja na kupiga nyungu kuwa ndo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

    Sijui kama hivyo vitoto vya kike vilivyojazwa kwenye uDED vitaweza kujubu hoja za madiwani.Nadhani watakuwa wakilia kila mara badala ya kujibu hoja.
Back
Top Bottom