Kunani? mbona simanzi nyuso za washiriki na idadi ndogo ya wahudhuriaji ziara za rais Samia?

Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo,zikiwemo barabara.
Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura zao hazina raha kabisa,kulikoni?
Anayeweza tujuza sababu za haya mapungufu atujuze.

Enzi za hayati Magufuli palikuwa hapatoshi ,furaha na mapokezi bashasha ya wahudhuliaji,nini kimebadilika?
Leta picha unafiki tu
 
Kwa hiyo unataka kila akisema neno watu wakenue meno na kucheka
Tabia za unafiki zipo sana ila lazima tubadilike na mambo ya kuwazoa watu kwa malori na kuwajaza sehemu sio tija tena

Rais anaongea kuhusu barabara tu wala hawezi kumwita mtu kuongea halafu akimwambia wakae na mavi yao nyumbani mnachekelea

Kama unapenda kudhalilishwa ni wewe
Hapa tunasikiliza tukio muhimu la kufungua barabara tu na sio mengine
Issue ni attendance mbovu ,hatakiwi huyo
 
Kwanini mlizuia umati uliokuwa unasherehekea kifo chake ili tupime haya mahaba yako? Usipanick, dhalimu alikuwa sio, ww endelea kunyweshea maua hapo kwenye kaburi lake.
Kufa ni lazima kwa viumbe wote, labda kwako ni hiyari?
 
Ulichoniquote wala hakina mahusiano na nilichosema, isitoshe unaonyesha wala huelewi mantiki ya post ndio maana umesema kitu irrelevant.
Mie nakuambia ukweli, mda huu ni wa kuimarisha upinzani CCM wamekua na drama nyingi toka mwaka 95, mambo ya kukomaa kumtusi,kumsema uongo na kudhihaki marehemu haitasaidia kitu hapa JF. CCM ni janga kwenye nchi hii tunafanyaje kuliondoa hili janga ndio iwe akili ya kila mpinzani meku.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Anzisha chama ucheze na hilo gap. Wapinzani ni imara isipokuwa hawashindani na ccm bali vyombo vya dola, wakati hawana silaha.
nakuambia ukweli, mda huu ni wa kuimarisha upinzani CCM wamekua na drama nyingi toka mwaka 95, mambo ya kukomaa kumtusi,kumsema uongo na kudhihaki marehemu haitasaidia kitu hapa JF. CCM ni janga kwenye nchi hii tunafanyaje kuliondoa hili janga ndio iwe akili ya kila mpinzani meku.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo,zikiwemo barabara.
Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura zao hazina raha kabisa,kulikoni?
Anayeweza tujuza sababu za haya mapungufu atujuze.

Enzi za hayati Magufuli palikuwa hapatoshi ,furaha na mapokezi bashasha ya wahudhuliaji,nini kimebadilika?
Kuhusu awamu ya 5 ni bora ukae kimya sababu hujui chochote.

Mama hana makuu wala hatumii nguvu na pesa kuleta watu kwenye ziara zake, ongera sana Mama.
 
Tumia kichwa kufikiri,achana na kutumia masaburi na mihemuko kujibu uslolijua,unafikiri mama lishe,wamachinga wanamtazamaje huyo mama yako?,+ mfumuko wa bei idiots
 
Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo,zikiwemo barabara.
Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura zao hazina raha kabisa,kulikoni?
Anayeweza tujuza sababu za haya mapungufu atujuze.

Enzi za hayati Magufuli palikuwa hapatoshi ,furaha na mapokezi bashasha ya wahudhuliaji,nini kimebadilika?
Amechokwa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani tunaweza kushinda uchaguzi wowote bila kutegemea mifarakano iliyoko ndani ya ccm. Hivyo hatuko tayari kushiriki uchaguzi wenye mifumo iliyofeli kwakuwa kuna tofauti ndani ya ccm. Tunataka tume huru ya uchaguzi, ili tupate viongozi sahihi walio na ridhaa ya umma, na sio kupata bora viongozi kutokana na uhasama ndani ya ccm, kisha wakielewana turudi kwenye tatizo hili hili.
Hivi huko upinzani/chadema kuna anayejitambua au mwenye akili angalau mmoja!?
 
Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo,zikiwemo barabara.
Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura zao hazina raha kabisa,kulikoni?
Anayeweza tujuza sababu za haya mapungufu atujuze.

Enzi za hayati Magufuli palikuwa hapatoshi ,furaha na mapokezi bashasha ya wahudhuliaji,nini kimebadilika?
Hatuna raisi mkuu tuna kivuli cha rais! Tangu lini raisi analalamikalalamika mambo mengine NONSENSE
 
Usitake kutufanya hatujui ukweli wa kinachoendelea kwenye ziara za marais wa CCM, kuanzia JK, Magufuli na sasa Samia. Wakati wa Magufuli kwakuwa alikuwa na kiburi cha madaraka, viongozi wa taasisi mbalimbali walikuwa wanashurutishwa kuleta watumishi wao, matajiri kwa hofu ya kubambikiwa kodi, walikuwa wanatoa usafiri kwa ajili ya watu walioshurutishwa kuhudhuria ili kujaza hafla zake. Na wasanii walikuwa wanalipwa ili kuja kutumbuiza ili kuhadaa umma kuwa Magufuli anakubalika sana.

Mwenendo huo umehamishimiwa kwa Mama, maana watu wa protokali wa Magufuli bado wako kwenye mifumo. Tatizo ni kuwa mama huyu hatawali kwa vitisho na jeuri sana kama Magufuli, hivyo inawezekana watu hawafanyi kwa uoga mkubwa kama enzi za Magufuli. Hivyo safari zote hizi za Mama na Magufuli tofauti yake kubwa ni hofu inayotanda kwa waandaaji na wahudhiriaji, na wala sio ushawishi. Enzi za Magufuli, wahudhuriaji 90% walikuwa wanahudhuria hafla zake za shuruti na sio hiyari yao. Kama unataka kupotosha jikite kwenye ukweli huo.

Wewe tu ndo ulikuwa unaishi Tanzania, wengine woteee ni wageni wa kuja ni wakimbizi hawakuwepo nchini mpk trh 17/3/2021? Msiba wake pia watu walishurutishwa kuja
 
Usitake kutufanya hatujui ukweli wa kinachoendelea kwenye ziara za marais wa CCM, kuanzia JK, Magufuli na sasa Samia. Wakati wa Magufuli kwakuwa alikuwa na kiburi cha madaraka, viongozi wa taasisi mbalimbali walikuwa wanashurutishwa kuleta watumishi wao, matajiri kwa hofu ya kubambikiwa kodi, walikuwa wanatoa usafiri kwa ajili ya watu walioshurutishwa kuhudhuria ili kujaza hafla zake. Na wasanii walikuwa wanalipwa ili kuja kutumbuiza ili kuhadaa umma kuwa Magufuli anakubalika sana.

Mwenendo huo umehamishimiwa kwa Mama, maana watu wa protokali wa Magufuli bado wako kwenye mifumo. Tatizo ni kuwa mama huyu hatawali kwa vitisho na jeuri sana kama Magufuli, hivyo inawezekana watu hawafanyi kwa uoga mkubwa kama enzi za Magufuli. Hivyo safari zote hizi za Mama na Magufuli tofauti yake kubwa ni hofu inayotanda kwa waandaaji na wahudhiriaji, na wala sio ushawishi. Enzi za Magufuli, wahudhuriaji 90% walikuwa wanahudhuria hafla zake za shuruti na sio hiyari yao. Kama unataka kupotosha jikite kwenye ukweli huo.
Umemaliza kila kitu.
Kongole.
Jibu limepatikana tena na jibu la nyongeza hivyo mjadala ufungwe.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
nakumbuka kuna sherehe fulani au mazishi ilikuwepo south africa waliifanya kwenye uwanja wa mpira marais wengi wa africa walikuwepo na kila rais alipokuwa anaingia uwanjani alikuwa akitangazwa rais fulani anaingia makufuli alikuwa rais kama wa nane kuingia alipo tajwa makufuli na wakati anaingia uwanja mzima wananchi wa south africa walishangilia sana sana. je aliwazidi nini wenzake? je na huko aliwalazimishi kumshangilia tena unavyowajua wazulu. ni uongozi wake ulipendwa nje ya africa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom