mimi sijatumiwa,ila kuna rafiki yangu katumiwa,kaambiwa yeye amefanikiwa kuingia kwenye timu yao ya mafunzo,ila kuna mabadiliko ya tarehe ya kuanza hayo mafunzo,yalitakiwa kuanza tarehe moja mwezi wa nne,ila wamepokea order toka kwa uongozi wa MCB kua waongeze watu wengine kumi ili watimie...