Recent content by Kishenge

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Unajua wtz mnakera,,wakizembea mnasema huyu Samia hafai na wakichukua hatua mnalalamika hivi mkoje nyie wanyonge!!!?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Jaji hana mamlaka na document yenye wrong citation. Court of Appeal ilishaonya mara nyingi

    Mungu anawaonya hawaonyeki,,, kawapiga upofu wanakuja kushtukia makosa ya uandaaji wa mashitaka wakiwa mahakami!!! Mungu ni mkubwa sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

    Magufuli ndo alikuwa bingwa wa kuwatukana watangulizi wake mara aseme " wanawashwa" Huku akina Musiba wakimtukana wamtakae na walikuwa hawagusiki haswa,,,Acha na yeye atukanwe natamani angekuwepo asikie
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, umasikini wa familia unanitatiza

    Nakuhakikishia una jipu lililoiva huna budi kulitumbua,,,Usipolitumbua litakutesa milele achana na mabahili wa kigoma nenda benki kachukue pesa kama ni kumjengea mzazi fanya hivyo huo mzigo uondoe, usije dondoka ghafla ukaenda na mawazo yako kaburini binadamu tunakatika ghafla xana,,,chukua...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

    Wazungu wanaweza kufanya prediction ya Miaka 100 mbele,,ccm hata mwaka mmoja mbele hawawezi kupanga
  6. K

    JamiiForums Tanzania PICHA Ya Muonekano wa Soko jipya la Kariakoo Huu Hapa

    Samia nae anaweka legacy zake kama Magu alivokuwa anaamua chochote atakacho,,,,Pesa za mazuzu (wtz) hazina kelele
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

    Sijui una umri gani lkn nadhani ukoo wenu mna laana si bure yani we mbuzi huoni umuhimu wa katiba mpya kwa hali tuliyo nayo kwl!!!!? Unaelewa kbs watz ni wanyonge kama alivowaita Magufuli yani hawawezi kujijitea,, sasa wanatokea watu wa kuona mbali wanadai katiba ni mbovu we unakinzana nao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

    Hizi tabia za kuwatukana watangulizi wake aliziasisis Maguguli mwenyewe tena alikuwa akiwatukana yeye mwenywe akishirikiana na Akina Musiba na Makonda sasa ngoja atukanwe Ipasavyo tena hawajapatia sawa sawa,,,, Magufuli alijiona yeye ndo tz na tz ni yeye
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Magharibi zinalenga kuzigawanya nchi nyingi za Afrika?

    Sio rahisi Afrika na waafrika kuwa wamoja, tusiwasingizie wazungu sisi tumeumbwa na vinasaba vya kuchukiana. Ebu angalia tz tuko tyr bidhaa za china ziingie nchini lkn hatuko tyr bidhaa za kenya kuingia nchini, tunafanyiana figisu,sasa unajiuliza hivi Uchumi wa nchi zetu utakua vipi wakati nchi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mbowe na wenzake kutolewa Mahakamani , Viongozi na wafuasi wa Chadema wafungiwa ndani ya Mahakama

    Askari magereza ndo wamefunga mlango sasa polisi mnawalaumu nini
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni rasmi katika Mkutano wa Maadhimisho ya maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad leo Novemba 5, 2021

    Naye amwambie Dpp afute kesi ya Mbowe kama alivyofuta ya Mashehe wa Uamsho
  12. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Mungu fundi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Hapa naungana nae Rais Samia ila kumfunga Mbowe hapana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Imetafsiriwa na Derrick Gasper Mkandara Rufufuuuuuu

    Hakuna kama Lufufu hapa duniani yule jamaa alikuwa hatar
  15. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Pole xn Bwana PGO
Back
Top Bottom