Recent content by Kishazi

 1. K

  Huyu mwanamke ni mpumbavu

  Don’t underestimate a woman who is deeply in love... Ni hilo tu..
 2. K

  Watanzania waishiao Kenya,wanachaniwa vibali vya kuingia Kenya na polisi bila sababu, na kusingiziwa kuingia kinyume

  Wakichana passport watakuwa wanatafuta balaa lingine. Kuna yale maneno ndani ya passport sio mepesi. Sent from my iPhone using JamiiForums
 3. K

  Kwaya iliyotikisa sana africa mashariki ya Kkkt kijitonyama wameacha kutoa album

  Ufafanuzi, kuna Kijitonyama Uinjilisti (kwaya) na Kijitonyama Upendo Group (ya kina Joshua). Tembeleeni Kijitonyama kanisani mtaelewa zaidi. Sent from my iPhone using JamiiForums
 4. K

  Dunia haina usawa

  Hii story iko safi sana... Natamani tungekuwa na Directors wazuri wa movies... Imagine hii ingekuwa movie yenye effects za technology ya juu kama ma movie ya kina Denzel au Jack Bauer
 5. K

  Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

  Ana mafundisho mazuri sana na Jumapili utamkuta kanisani kama muumini mwingine wa kawaida. Kitendo chake cha kuheshimu makanisa kinamfanya apate support kubwa sana toka makanisani kwenye seminar zake.
 6. K

  Sarafina - Mtunzi Nyemo Chilongani

  Asante sana Shunie.. [emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 7. K

  Penzi bila maumivu

  Shunie asante saaana....
 8. K

  Penzi bila maumivu

  Shunie hataki mchezo, hakuna arostoo... salute
 9. K

  SIKUJUA: sehemu ya 01.

  Cha muhimu tu usilete ule mchezo wa kutuma after miezi miwili au kuishia hewani kama story zingine.
 10. K

  RIWAYA:Mtutu wa bunduki

  Hii ndio shida ya story za JF, yaani ujanja ni kutafuta ambayo imeshafika mwisho ndio uanze kusoma la sivyo jiandae kupata shida ya kusoma nusu then kusubiria kwa wiki kadhaa.
 11. K

  Jimbo la Iringa Mjini toka Msigwa amekuwa mbunge limepiga hatua zipi kimaendeleo

  Kwa uelewa wako kazi kuu ya mbunge ni nini? Labda tuanzie hapo
 12. K

  Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

  Sitaki kuingia ndani kwenye swala la kiupelelezi as sio mtaalamu sana kwenye area hiyo ila kisaikolojia mtu huwezi kuwa sawa unapokuwa umekaa kwenye gari na mtu uliyozoeana naye na unamuona anamiminiwa mvua ya risasi nzito. So kwa mtazamo wangu naona huyu dereva na hata Lissu mwenyewe...
 13. K

  Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

  Yaani Mganga mkuu kathibitisha, Katibu Mkuu wizara ya Afya alikuwepo, Waziri wa Afya alikuwepo, Waziri wa Mambo Ndani alikuwepo, Spika naye alienda... Bado mtu unadiriki kusema hii ni staged incidence? Nilisema mwanzo, hii sio Tanzania Mungu anayoitaka, mwanadamu mwezako kashambuliwa all you...
 14. K

  DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

  Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri. Yaani mtanzania mwenzetu anashambuliwa kwa risasi then watu wengine wanakosa utu na kuendekeza chuki za kisiasa au kimtazamo kushangilia au kuandika comments za ajabu ajabu. Hebu tujitathmini na kujiuliza aliyepigwa risasi angekuwa ni mzazi au ndugu wa karibu...
Top Bottom