Kweli hatuna wawakilishi wanapitisha miswada ya kunyonya RAIA ila wao chao wanachukua mapema .hili taifa limezidi kutugandamiza sana tumewalipa kodi zao na bado wanangangania na haki yetu kuna haja ya Muumba wa hii dunia Ku restructure dunia wake wengine waanze upya
Wanawake wajitathimini kwanza he ni wamoja ? Iweje make upendeleo ili hali nyie ndio mnaokuwa mstari wa mbele kuwapinga wanawake wenzenu wanaogombea majimbo?lakumwambia huyu mwenyekiti ni aache unagiki juzi alipanda kwenye jukwaa kumponda Asia na kumwibia kura ,angejua hill angesimama kumpambania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.